Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma yuko sahihi kwani anajaribu kutustua kutambua madhara ya viroba kwa viroba vinapoteza hama ya kula hakuna mnywa viroba akapata afya mirungi na bangi ndio biashara kuwa inayofanywa na jeshi la poric
 
Naunga mkono hoja lakini si kwa ajili ya kuvuta bali kwa ajili ya matibabu na afya njema kama nilivyoanisha katika uzi huu

Wabunge fikisheni ujumbe huu bungeni ili Serikali ihalalishe upandaji na utumiaji bangi wenye tija


Kenya wako hatua chache kuhalalisha bangi kwa ajili ya matumizi yenye tija. Sisi kalagabaho!

Wakenya wakihalalisha tu bangi basi itakuwa ni sehemu kubwa sana ya uchumi wao kutokana na kukubalika kwa matumizi ya bangi sehemu nyingi duniani kama ilivyoainishwa kwenye kiungo hicho hapo chini achilia mbali biashara ya utalii wa kimatibabu watakayoipata kutoka nchi za Africa ikiwepo Tanzania pamoja na nchi zingine ulimwenguni. Bangi ni madini kuliko dhahabu na vitu vingine.

Litakuwa ni kosa kubwa sana kwa nchi yetu kuendelea kuzuia matumizi ya halali ya bangi bila hoja zozote za msingi.

Ombi la kutaka kuhalalisha bangi Kenya laungwa mkono - BBC Swahili
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.

Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.

Nimemsikiliza Dr Kasheku Musukuma kupitia hii video nimejifunza mengi sana.

1. Kumbe ukiwa na PhD unapata visa ya kuzunguka duniani kote. Na usomi wangu wote sikuwahi sikia hili.

2.kumbe honoris causa inakupa fursa kubwa kuliko PhD ya kukaa darasani

3. Nimejifunza waafrika wengi tuna haiba ya kuvichukia vitu ambavyo tumeshindwa kuvipata. Kupitia video hii Dr. Musukuma ameeleza wazi wazi furaha aliyonayo baada ya yeye sasa kuwa na PhD ambapo awali alionesha chuki za wazi kwa wasomi

Mwisho katuambia tuache wivu, yeye ni next level now, hivyo tujitume sana kukipata alichopata.View attachment 2036688
Mkuu Lusungo , kwanza asante kwa hii, kiukweli huyu jamaa ni habari nyingine!, mimi baada ya kuangalia zile two series za makala kuhusu historia ya maisha yake, niliwahi kusema kitu kumhusu mtu huyu, na kila nikimsikiliza hoja zake, japo sometimes ana hoja za msingi sana, lakini huyu jamaa ni issue!.

Hata niliposema hivi kutuhusu sisi Watanzania,
Nikimsikiliza mtu kama huyu na baadhi ya hoja zake, kiukweli kabisa, I was right, hili bandiko lina msadifu!.

P
 
Katika hali isiyo ya kawaida Mbunge wa Geita Vijijini"Msukuma, amesema haoni sababu ya Serikali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.

Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biashara.

Dkt.Msukuma ni kiboko
 
Back
Top Bottom