Anasikia aifai ndo maana anashabikia😉Kwa nini unasema haifai ?
hahaha I like your comment mkuu
Toxic cigarettes & Alcohols ..... YES !
Bangi........ NO !
'Babylon system' Teh teh teh
Na sidhani kwa hao wenye Elimu iliyo kamilika na bora hakuna wavutaji wa hiyo kituSidhani kama swala la kuhalalisha bangi linahusiana na elimu ya hapa na pale ,Mkuu
Nadhani signature yko inajieleza hapo chini km ulimsikiliza huyo mh,alilinganisha na hz pombe za viroba zinazohalalishwa na serikali na kupinga bangi na mirungi ambayo anaona hazina madhara kuzid hvyo viroba,na anaona serikali inapoteza mapato kutokana na nch za wenzetu serikali zao zinaingiza mapato kupitia kilimo mf kenya na mirungi mpaka inagewa escort ya serikaliSasa kama si elimu duni,Msomi gani hajui madhara ya mirungi na bangi?
Vp ushawahi kuijaribu japo kidogo?Bangi ni kama pombe. si kila mtu ina mkubali. Wapo wanywa pombe na pombe inawafanyia vibaya mno hawatamaniki. Lakini bangi haina madhara makubwa kama sigara.
Hapana lakini nakaribia kufanya hivyo. Naifanyia research kwanzaVp ushawahi kuijaribu japo kidogo?
Mkuu mtu hadi kufikia hatua ya kuwa kichaa ni story ndefu sio kuvuta bangi kunasababisha mtu kuwa kichaa ila kuna mda ikitumika kupita kiasi inakuwa na madhara lakini si kama yale yanayo zungumziwa na jamii eti utakuwa kichaaMkuu hebu tupe na takwimu za vichaa ni direct proportional au inversely, cku ingne kua critical thinker
Hakuna vya research wala nini! yani na wewe unaipiga? duh polee na ndo inayokusumbua na itakusumbua zaidi pole. ila hujachelewa unaweza fanya maamuzi kuiacha ili ubaki sawaHapana lakini nakaribia kufanya hivyo. Naifanyia research kwanza
Wapi umeona inanisumbua mkuu?Hakuna vya research wala nini! yani na wewe unaipiga? duh polee na ndo inayokusumbua na itakusumbua zaidi pole. ila hujachelewa unaweza fanya maamuzi kuiacha ili ubaki sawa
Tatty na we ni mdau?..Natafuta kampaniHao watakuwa wamechanganya na madawa mengine ya kulevya. Pia bangi inahitaji usiwe na stress...ule vizuri, chakula kisiwe cha mawazo.
Usiniulize nimejuaje....
Nina uhakika maana familia yangu na familia rafiki ni waadhirika wa haya majani.