Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Haaaa haaaa hii ndiyo CCM aisee wanataka mibange na mirungi ili kuharibu akili za watanzania waendelee kutawala milele.
 
Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Siku ikihalalishwa historia itamkumbuka,kwamba ni mmoja wapo wa aliyesimamia ukweli na si unafiki wa ki magharibi kila kitu mfano ni ulaya na marekani.
Baadhi ya maeneno ya mkoa wa Iringa Bangi ni mboga,na ilitumika na wazee toka ulimwengu kuumbwa.LEGALIZE IT.
 
bangi ina siri kubwa nyuma ya pazia ... babiloni wanaijua ndio mana wanapambana kuisemea mabaya kila kukicha. legalise marijuana
 
Msukuma ameongea kitu cha msingi sana, ukweli Tanzania tunakubali matumizi ya vitu visivyo na faida kwetu kama vile pombe za viroba. Huku tunazuia kinywa kama gongo. Ukweli hakuna tofauti kati ya konyagi na gongo. Tatizo kasumba ya kudharau vyetu. Issue ya bangi na mirungi. Wanasayasi with wamesoma wapi? Materials tofauti na wenzao Wa Kenya, Uganda na Uingereza? Serikali lazima ilifanyie kazi hili suala ili kupanua wigo mpana wa ajira, uchumi na pato la taifa.
 
mimi baba yangu ameniambia ana miaka 33ya uvutaji mimi ni mwaka wa 12 toka nimeanza na kwetu hakuna kichaa hata mmoja

100% iruhusiwe
 
Huyo Msukuma ana tatizo kubwa inabidi akanuse makalio ya beberu kutwa x 5 atapona
 
Katika kile kinachoonekana kukurupuka na kutojielewa leo mbunge musukuma kasheku ameomba serikali ihalalishe matumizi ya bangi ili iweze kuongeza pato la serikali. Hii inaonesha ni aina gani ya wabunge tulionao katika awamu hii. Naomba serikali ipige marufuku wabunge wa namna hii.
Msukuma na asilaumiwe jamani,hapo ndo IQ yake iko level. Mtu alaumiwe kulingana na upeo wake, Ndugu yetu sina uhakika kama hayo ni mawazo ya wanageita au kajitungia. Na hayo ndo matatizo ya wabunge kuwasilisha hoja zao badala ya hoja za wapiga kura wao.
 
Aisee basi hao hawali ganja aisee ,sijui wanavuta nini ,mimi kuna familia moja naijua yaani sio baba,mama,watoto wote watumiaji ila hamna kichaa ,mmoja ni mwanasheria,mwingine ni Daktari ,mwingine ni physcologist pata picha unakutana na mwana saikolojia ni mla ganja
Ukisha eleza 'SIO' baba,mama,watoto hakuna mtumiaji hapo una eleza familia gani sasa? sitaki kuamini kuamini kuwa tayari umesha athirika na huo mche ila idadi ya ya walio jiinua kumsapoti mbunge kwenye hii thread ime toa picha ya kiwango cha watumiaji nikidhani niakina ni kina Haille tu.
 
Ukisha eleza 'SIO' baba,mama,watoto hakuna mtumiaji hapo una eleza familia gani sasa? sitaki kuamini kuamini kuwa tayari umesha athirika na huo mche ila idadi ya ya walio jiinua kumsapoti mbunge kwenye hii thread ime toa picha ya kiwango cha watumiaji nikidhani niakina ni kina Haille tu.
Wewe kwenye kiswahili hujawahi sikia ilo neno kwamba sio baba tu bali hata watoto ???
 
Mkuu vp kubenea yale ya chachandu na vyupi ndio aliyotumwa na wana ubungo ayawasilishe kwa niaba??? acha uzezeta wa kuona hapa jaribu kuupa chakula ubongo wako nyumbu ww
 
Haya imeanza bhangi na mirungi kinachofuata ni KUOMBA KUZITAMBUA NDOA ZA JINSIA MOJA KIKATIBA
 
Back
Top Bottom