Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Anasema wasukuma wakivuta bhangi wanalima sana!Neno kulima sana tayari ni madhara kwani anafanya kazi kuzidi uwezo wake wa kawaida
 
Licha ya bangi, Gongo na miring Kupigwa marufuku takwimu za watumiaji hakijawahi kushuka tokea 1961 wavuta bangi wapo wengi sana hata baadhi ya wabunge na viongozi wanavuta bangi kwa wingi sana, hivyo hata bangi ikiruhusiwa hawatavuta wote Kama ilivyokuwa sigara hawavuti wote hata gongo hawanywi watu wengi, huyo Mbunge kaangalia takwimu za watumiaji kagundua kuwa watumiaji hayapungui licha ya Sheria kukataza kuvuta bangi.
Mkuu hebu tupe na takwimu za vichaa ni direct proportional au inversely, cku ingne kua critical thinker
 
Mmmh!huyu atakuwa mtumiaji wa mibangi ndo maana anataka kuifanya iwe halali !!

Ukienda between lines bangi na sigara ipi inamadhara Zaidi kwa afya za wanadamu, fikiri kama mmatumbi wakati mwingine kuliko kama mzungu. Mbona nchi nyingine watu wanaruhusu ili kudhibiti matumizi yake lakini rizla zinauza madukani sasa ni kwa ajili ya nini kama sio kunyingea ganja. Isije ikawa umejikuta na wewe unapinga, hata gongo imezuiwa lakini inawezekana kurasmisha kwa utaratibu maalum Bunge linahitaji watu wanaofikiri tofauti. Acha kutazama personality wakati mwingine you will be missleaded.

Kenya wanasaga Gomba wao wako mbele kuliko sisi, SA ganja ruksa na wako mbele.
 
nani kakudanganya bangi ina madhara..acha kukariri..hivi kuna tofauti gani kati ya bangi na konyagi ?
Bangi zipo tokea 1961 wavuta bangi wameongezeka mara dufu hawajawahi kupungua licha ya sheria kuwabana sana, Nchi za Ulaya walitambua ni vigumu kuwazuia watu kuvuta Bangi ndiyo maana wakaruhusu lakini kwa kiwango Fulani isizidi kipimo na huko si wote wanaovuta Bangi ni baadhi yao, hata Tanzania wakiruhusu Bangi Sidhani kama watu wote watavuta Bangi, watavuta bangi wachache kama ilivyokuwa sasa.
 
Angeimba na ule wimbo wa bob marley .legalize marjuana .marasta watamchagua
 
Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua
Mkuu wewe ndio elimu duni na unaonyesha ni jinsi gani usivyokua na upana wa mawazo . Duniani kote inajulikana cannabis sativa ni dawa inayotumika kutibu magonjwa kibao na kwenye nchii nyingi inatolewa Kama prescription drug na madaktari nguli hadi kufanya nchii hizo zihalalishe mmea huo. Kwa hio na wao elimu duni?
 
#TCC na TBL ambao ni makampuni mama yanafahamu vyema madhara ya sigara na pombe Lakini bado wanatengeneza na kutuuzia kwa bei ghali na isitoshe hivyo bidhaa zimeandikwa maneno yenye onyo kali kama vile 'uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mengine unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, kunywa kiistaraabu' sasa kwa nini bangi izuiliwe?
Mataifa mengine wamepitisha kwani wao hawana madaktari wa kuona kwamba bangi ina madhara?
Rai yangu kwa bunge na serikali; ihalalishe bangi ili watu tutumie bila uoga wala tusijifiche!!
Hongera Msukuma kwa hoja yako nzuri
 
Mbunge anawakilisha mawazo ya wananchi wake waliomteua. Na ndio waliomtuma hayo maombi bungeni.
 
Wavuta ba
#TCC na TBL ambao ni makampuni mama yanafahamu vyema madhara ya sigara na pombe Lakini bado wanatengeneza na kutuuzia kwa bei ghali na isitoshe hivyo bidhaa zimeandikwa maneno yenye onyo kali kama vile 'uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya yako na mengine unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako, kunywa kiistaraabu' sasa kwa nini bangi izuiliwe?
Mataifa mengine wamepitisha kwani wao hawana madaktari wa kuona kwamba bangi ina madhara?
Rai yangu kwa bunge na serikali; ihalalishe bangi ili watu tutumie bila uoga wala tusijifiche!!
Hongera Msukuma kwa hoja yako nzuri
wavuta bangi ni wengi hakuna mfano na wakiamua kujitokeza live mtashangaa kuwakuta mpaka mapolisi, wanajeshi, mahakimu na viongozi kibao, bangi ya kuvuta kwa kujificha inawavutia wengi kuliko ya kuwa huru, tena pengine ikiruhusiwa watumiaji watapungua sana.
 
Naungana na Msukuma kushinikiz serikali ihalalishe Bangi..


Navuta Bhangi kwa mwaka wa 35 sasa.

1. Sijatukana mtu kisa Bhangi

2. Sijajikojolea kisa bhangi.

3. Sina ngeu inayotaka na Bhangi.

4. Sijawahi kulala nje kisa bhangi.


Bhangi inaongeza Msimamo na Uwajibikaji.


Waruhusu Bhangi wakataze Kiroba.


Hongera Msukuma.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Anaweza kuwa na hoja hata kama hatukubaliani.
Mambo haya yameleta sintofahamu sana duniani. Tatizo ninaloliona ni jinsi asivyoweza kujenga hoja

Kwa mfano, anapotolea mfano wa wasukumu kupuliza sigara kubwa wakati wanalima, anaiambia nini serikali yake ya CCM ambayo yeye alikuwa mwenyekiti wa mkoa? Kumbuka sheria haijadilika

Oh Msukuma!
 
Kwa hiyo mkuu,Bangi ihalalishwe?Jamaa elimu duni inamsumbua

ktk maeneo mengine bange linapulizwa pasipo mashaka ya nguvu ya dola.

pia biashara ya bangi inawapa faida wafanyabiasha pasipo kuchangia kodi yoyote.
 
S ndo huyu aliyezusha mheshimiwa et ameniaje......Hapo lazima na yy mwanachama.
 
Back
Top Bottom