Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Msukuma: Serikali ihalalishe Bangi na Mirungi

Naunga mkono hoja. Wasisahau na gongo pia.
 
Watu wanakunywa pombe hadi wajinyea Na kujikojolea, watu wanavuta sigara kwa siku paketi mbili MTU mmoja ana maliza, sasa kosa LA bange nini?
 
Huyu Mbunge atapendwa sana na mapusha pamoja na watumiaji wa huo mmea.... Ila nasikia ni dawa ya sikio
 
Acheni unafiki wanzania badala yake tuungane Na msukuma bange , mirungi Na gongo iruhusiwe tuongeze pato LA taifa
 
Mbunge yupo sahihi. Labda tueleweshwe madhara ya bangi vs sigara. Sigara inayoua watu kila siku mmeikalia kimya tu. Naunga mkono hoja...ihalalishwe
Mkuu madhara yake muulize 20 paaaa cent
 
Mkuu madhara yake muulize 20 paaaa cent
Bangi ni kama pombe. si kila mtu ina mkubali. Wapo wanywa pombe na pombe inawafanyia vibaya mno hawatamaniki. Lakini bangi haina madhara makubwa kama sigara.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Anadhihirisha aina ya watu waliomo katika chama chake
 
Wasukuma ni noma sana!! Wabhejah sana mh. Musukuma, Itabidi wana wakuandalie cha Malawi wakuletee Idodomya!
 
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.
Safi tu bangi ni dawa mbona marekani kuna majimbo wanaruhusu bangi
 
Mkuu na mimi nina elimu ya hapa na pale
Hebu kwa faida ya wenzangu kama Msukuma naomba unitajie madhara ya bangi ??
Bhang/Ganja/Marijuana:
Biological source;Cannabis sativa plant
Active ingredient; Tetrahydrocannabinol which has a psychoactive effect.
Medicinal effects;
-for recreation (relaxation)
-causes increased appetite
-antiemetic
-anti epileptic effect
-antispasmodic
-anti asthmatic
-treatment of glaucoma
Side effects;
-Heavy and prolonged uses increase the risk of psychotic disorders
-anxiety
-dry mouth
-red eyes
-impared motor skills
-decreased short term memory.
 
Katika hali isiyo ya kawaida mbunge wa geita vijijini"Msukuma,amesema haoni sababu ya serekali kuzuia bangi na mirungi kuwa zao la biashara maana haoni madhara yake.
Ameenda mbali zaidi kwa kusema wasukuma wakivuta bangi wanalima zaidi na inahitaji uchunguzi ili kuhalalisha mimea hiyo kuwa zao la biadhara.

Alichotakiwa kusema ni kwamba hata kama kutakuwa na watu wana vuta bangi na kuharibu maisha yao hilo litakuwa chaguzi lao. Ambacho alichotakiwa kugombea ni uwezo wa mwanachi kuchagua anacho taka kula kunya na kulewa nacho. Serikali haitakiwi kuwaambia watu wanachoweza kufanya na miili yao kama hawadhuru watu wengine.
 
Back
Top Bottom