Akili yako inaendena na huyo mbunge.kuna mambo mangapi ambayo yapo kinyume na sheria na yanaongezeka kila kukicha kwa hiyo nayo ihalalishweLicha ya bangi, Gongo na miring Kupigwa marufuku takwimu za watumiaji hakijawahi kushuka tokea 1961 wavuta bangi wapo wengi sana hata baadhi ya wabunge na viongozi wanavuta bangi kwa wingi sana, hivyo hata bangi ikiruhusiwa hawatavuta wote Kama ilivyokuwa sigara hawavuti wote hata gongo hawanywi watu wengi, huyo Mbunge kaangalia takwimu za watumiaji kagundua kuwa watumiaji hayapungui licha ya Sheria kukataza kuvuta bangi.
Kazi Kweli kweliBora katoa wazo ili kodi iongezeke
Kazi Kweli kweliBora katoa wazo ili kodi iongezeke
Katika kile kinachoonekana kukurupuka na kutojielewa leo mbunge musukuma kasheku ameomba serikali ihalalishe matumizi ya bangi ili iweze kuongeza pato la serikali. Hii inaonesha ni aina gani ya wabunge tulionao katika awamu hii. Naomba serikali ipige marufuku wabunge wa namna hii.
Duuh!! si itakuwa fujo sasa. hadi ndani ya mjengo! hapana aseeee...Bunge waharakishe hii kitu hili tuanze kutumia kwa Uhuru wetu tukutane mitaa ya posta kila mtu kashika ngada yake kariakoo ubungo na kila sehemu hata kwenye mabaa itakuwa poa sana bila kusahau bungeni hii kitu ni muhimu sana kuna wabunge wanalala au wanashindwa kuongea kwa kuwa awajapata hiyo kitu
kwi Kwi kwi kwi kwi kwi kwi mkuu umenifanya nikumbuke secondaryHii bhangi kwa Sie tuliokwisha ivuta ni vema wangeiharalisha mbona Polisi kibao wanavuta kimya kimya hata yule ....
We kama msomi nadhani unajua madhara ya bangi na sigara.....naomba uniambie ipi ni hatar kati ya hizo?Sasa kama si elimu duni,Msomi gani hajui madhara ya mirungi na bangi?
Hili ndo tatizo la double standard ambalo Msukuma anataka lifanyiwe kazi. Pombe na sigara zina madhara makubwa kwa jamii sawa sawa na bangi na mirungi. Iweje bangi na mirungi viwe haramu lakini sigara na pombe viwe halali. Tunapoteza pesa nyingi kwa kuharamisha vitu hivi. Mtu yeyote mwenye comperative study ya hivi vitu atubandikie hapa tujue ni kwa nini bangi na mirungi isihalalishwe!Bangi haramu lakini pombe na sigara halal...babylon system