Mstaafu Kushauri anapohitajika si tatizo Kinachomponza Kikwete ni historia yake mbovu ya uongozi

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
GT
Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete.

Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala yake ufisadi ulitamalakai na serikali legelege 😫🤒.

Sasa anajitia kimbelembele kushauri, kuna jambo gani alisahau enzi zake ambalo anaweza kubadili akiwa mstaafu liliomshinda miaka 30 yote ya uongozi wake uliojaa majanga. Kama angetenda mambo mema sana enzi zake hakuna ambae angekataa asiwe mshauri anapohitajika.

Kipimo halisi cha uongozi.wa Kikwete na mwanae RIz nenda ukaone chalinze mjini na vijijini jinsi wakwere wanavyoishi kwa taabu huwezi amini kwamba walishawahi kutoa Raisi ambae amebalehe akiwa CCM 😠 😡.

Binafsi naunga mkono 👏 🙌 👏 hoja ya Mh Sugu na Askofu Dallu kwamba huyu mzee akubali kupumzika aache damu mpya iamue mustakabali wa Taifa. Hata awamu ya Tano alijaribu kusogeza pua lakini Chuma kikamwambia aache kuwashwawashwa atulie aha 😆 😄 🤣
 
Ni mfumo mbovu tu!

Ashauri nini?

Kwani rais hana washauri mpaka yeye Ashauri? Na hawezi kushauri kimya kimya mpaka anakuwa kimberembere hivi?

Nchi kama Marekani marais wastaafu unawaona front kama huyu wetu?

Lakini yote hii inatokana na aliyepo hana akili ya kujitegemea ndio maana anattegemea za mstaafu!

Nb: watz tukome, hili genge la wahuni Magufuli alilibana sisi wanachi tukaanza kupiga mayowe eti ana wivu na matajiri matokeo yake tumepata hayo magarasa hapo ndio yanatuongoza.

Magufuli alikuwa wa kuungwa mkono maana alikuwa anabomoa huu mfumo ila watz ulivyo wapumbavu tukaanza kumpinga. Ngoja mnyoshwe!

Ulaaniwe Mabeyo popote ulipo.
 
Tangu akiwa jeshini
 
Its a Fact! Watanzania wengi ni watu wajinga na wapumbavu sana ni wachache sana walio nje ya kundi hilo.
 
Ni mfumo mbovu tu!

Ashauri nini?

Kwani rais hana washauri mpaka yeye Ashauri? Na hawezi kushauri kimya kimya mpaka anakuwa kimberembere hivi?

Nchi kama Marekani marais wastaafu unawaona front kama huyu wetu?

Lakini yote hii inatokana na aliyepo hana akili ya kujitegemea ndio maana anattegemea za mstaafu!

Nb: watz tukome, hili genge la wahuni Magufuli alilibana sisi wanachi tukaanza kupiga mayowe eti ana wivu na matajiri matokeo yake tumepata hayo magarasa hapo ndio yanatuongoza.

Magufuli alikuwa wa kuungwa mkono maana alikuwa anabomoa huu mfumo ila watz ulivyo wapumbavu tukaanza kumpinga. Ngoja mnyoshwe!

Ulaaniwe Mabeyo popote ulipo.
Naunga mkono

Hivi unauzaje mgodi wenye lifespan zaidi ya 100 kwa 5 billions kwa karne hii, kumbe chifu Mangungu wapo wanaishi?
 
GT
Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete.

Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala yake ufisadi ulitamalakai na serikali legelege 😫🤒.

Sasa anajitia kimbelembele kushauri, kuna jambo gani alisahau enzi zake ambalo anaweza kubadili akiwa mstaafu liliomshinda miaka 30 yote ya uongozi wake uliojaa majanga. Kama angetenda mambo mema sana enzi zake hakuna ambae angekataa asiwe mshauri anapohitajika.

Kipimo halisi cha uongozi.wa Kikwete na mwanae RIz nenda ukaone chalinze mjini na vijijini jinsi wakwere wanavyoishi kwa taabu huwezi amini kwamba walishawahi kutoa Raisi ambae amebalehe akiwa CCM 😠 😡.

Binafsi naunga mkono 👏 🙌 👏 hoja ya Mh Sugu na Askofu Dallu kwamba huyu mzee akubali kupumzika aache damu mpya iamue mustakabali wa Taifa. Hata awamu ya Tano alijaribu kusogeza pua lakini Chuma kikamwambia aache kuwashwawashwa atulie aha 😆 😄 🤣
Kwa hicho ulicho sema kama kipimo, ni Rais gani wa Tz kama wangelikuwa hai wote angefaa kuwa mshauri kwa kupima maendeleo ya kwao? Ni Mkapa ambae Barabara ya Lami kwenda kijijini kwao ilijengwa na JPM miaka michache kabla ya umauti kumkuta? Ni Mzee Mwinyi na either Mkuranga au Zanzbar? Au ni Mwl Nyerere na Butiama?

Kuhusu majanga ktk uongozi wa JK, ungeleta comparison hapa na Marais wetu wengine wote mema yao na dosari zao ktk uongozi kisha tuone kweli kama wote walistahiki kuwa washauri kwa wengine au laa!
 
Kikwete hafai
 
GT
Wakulima husema "Kama umeshindwa kupata mazao mengi katikati ya shamba unategemea upate pembezoni au mpakani 😲😯" hili ndilo linamhusu Kikwete.

Kikwete amekuwa serikalini toka ujana wake zaidi ya miaka 30 ikiwemo 10 ya uraisi. Sasa katika kipindi hicho kama alishindwa kuleta impact badala yake ufisadi ulitamalakai na serikali legelege 😫🤒.

Sasa anajitia kimbelembele kushauri, kuna jambo gani alisahau enzi zake ambalo anaweza kubadili akiwa mstaafu liliomshinda miaka 30 yote ya uongozi wake uliojaa majanga. Kama angetenda mambo mema sana enzi zake hakuna ambae angekataa asiwe mshauri anapohitajika.

Kipimo halisi cha uongozi.wa Kikwete na mwanae RIz nenda ukaone chalinze mjini na vijijini jinsi wakwere wanavyoishi kwa taabu huwezi amini kwamba walishawahi kutoa Raisi ambae amebalehe akiwa CCM 😠 😡.

Binafsi naunga mkono 👏 🙌 👏 hoja ya Mh Sugu na Askofu Dallu kwamba huyu mzee akubali kupumzika aache damu mpya iamue mustakabali wa Taifa. Hata awamu ya Tano alijaribu kusogeza pua lakini Chuma kikamwambia aache kuwashwawashwa atulie aha 😆 😄 🤣
Hakika naunga mkono hoja
Ila soon very soon tutavuka hapa
 
Mgao wa umeme na ufisadi watanzania tulipauka
Hilo la kupauka ni fitna tu. Twende na hayo 2 ya mgao wa umeme na ufisadi. And I choose not to defend him including hilo la kupauka. Haya tuambie nani hakuwa na kasoro ktk utawala wake kuanzia wa kwanza hadi wa sasa, au kwanini hayo uliyo taja ndio yawe vigezo pekee vya Rais kutofaa!
 
Back
Top Bottom