MatikaC
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 1,190
- 478
Inategemea unaishi wapi na mzaliwa wa wapi. Kama ni mzaramo wa hapo manerumango darasa la saba anaitwa msomi, kama wewe ni mrangi wa hapa majengo Dodoma, form six ni bonge la msomi, ukishuka mwanza na degree yako moja umekamilika kisomi, kasheshe pale Kashozi na popote pale kwenye Nshomire lazima uwe na PhD tena from cambridge au oxford ndo utaitwa msomi.....jamani this is according to my observations, so it is my own opinion