Msomi ni nani

Atakuwa msomi endapo atakuwa na ujuzi wa fani fulani, haijalishi ana cheti au hana.

Usomi una nasibishwa na fani fulani, usomi siyo kujua kusoma tu na kuandika, la hasha ingekuwa hivyo sote sisi tungekuwa wasomi, bali usomi ni kwa fani fulani. Endapo mtu huyo wa darasa la saba akawa amejifunza fani fulani na wasomi wakampitisha kwamba mti huyo ni mjuzi basi tunasema na sisi huyo ni msomi.
kama sdijakuelewa vile,,,kwani kamusi inasemaje.....na mnukuu mchangia hapo juuu alitoa viashiria vya neno msomi,,,,,
msomi , pl wasomi { English: intellectual }
noun

msomi , pl wasomi { English: learned person , pl learned people }
noun

msomi , pl wasomi { English: lecturer , pl lecturers } [derived: soma V]
noun

msomi , pl wasomi { English: reader } [derived: soma V]
noun ,

msomi , pl wasomi { English: scholar , pl scholars } [derived: Swahili -soma]
noun

5 distinct results returned (chanzo:THE KAMUSI PROJECT)
 
Ngoja niendelee labda utaelewa

Mwenye elimu ni yeyote asiyemjinga katika eneo flani [yaani uelewa/ufahamu juu ya matumizi n.k ya kitu ama jambo flani] elimu si lazima itolewe darasani ndiyo maana kuna kitu kinaitwa elimu dunia,hivyo mtu akikuita mjinga kabla hujakasirika furahia ila umuulize mimi mjinga eneo gani?​

Kwa kuwa nimekwambia mtu kuwa mjinga ni hali ya kutokuwa na uelewa/ufahamu wa jambo ama kitu flani.2 MSOMI NI MTU MWENYE UJUZI/TAALUMA FLAN I juu ya jambo flani,kwa maana nyingine huwezi kuitwa msomi kama hujabobea katika tasnia husika,inaweza ikawa katika mambo ya siasa,uhandisi,kilimo,sayansi,dini n.k,ndiyo maana makazini watu huajiliwa kwa utalamu wao[yaani taaluma zao]​

Ngoja niseme hivi ili uelewe zaidi,wasomi wako kwa ajiri ya kutatua matatizo kwa kuwa wamebobea katika maeneo husika mfano madaktari..ndiyo maana wakati flani unaweza kusikia tuna uhaba wa wataalamu,wenye elimu ni wengi kuliko wataalamu,NAOMBA NIMALIZE HIVI,MTU ANAWEZA KUWA NA UELEWA WA SHERIA LAKINI ASIITWE MWANASHERIA...​

UMENIELEWA MPENDWA? Haya nikupe na huu mfano wa mwisho,kama ukiwa hujui kutumia kompyuta kwa lugha nyepesi niseme wewe ni mjinga katika eneo hilo la matumizi ya kompyuta,lakini ukipata maelekezo ya matumizi yake hautaitwa tena mjinga ila utaitwa una una ufahamu yaani elimu ya kompyuta lakini kamwe hauwezi kuitwa MTALAAMU WA KOMPYUTA.​

Namaliza kwa mnyumbuisho wa maneno yafuatayo. 1.ELIMU-elimika-elimisha-elimishwa. 2.SOMO-soma- someka- someshwa-somea- USOMI- MSOMI. 3.TAALAMU-taluma-mKwahiyo​

Ngoja niendelee labda utaelewa

Mwenye elimu ni yeyote asiyemjinga katika eneo flani [yaani uelewa/ufahamu juu ya matumizi n.k ya kitu ama jambo flani] elimu si lazima itolewe darasani ndiyo maana kuna kitu kinaitwa elimu dunia,hivyo mtu akikuita mjinga kabla hujakasirika furahia ila umuulize mimi mjinga eneo gani?​

Kwa kuwa nimekwambia mtu kuwa mjinga ni hali ya kutokuwa na uelewa/ufahamu wa jambo ama kitu flani.2 MSOMI NI MTU MWENYE UJUZI/TAALUMA FLAN I juu ya jambo flani,kwa maana nyingine huwezi kuitwa msomi kama hujabobea katika tasnia husika,inaweza ikawa katika mambo ya siasa,uhandisi,kilimo,sayansi,dini n.k,ndiyo maana makazini watu huajiliwa kwa utalamu wao[yaani taaluma zao]​

Ngoja niseme hivi ili uelewe zaidi,wasomi wako kwa ajiri ya kutatua matatizo kwa kuwa wamebobea katika maeneo husika mfano madaktari..ndiyo maana wakati flani unaweza kusikia tuna uhaba wa wataalamu,wenye elimu ni wengi kuliko wataalamu,NAOMBA NIMALIZE HIVI,MTU ANAWEZA KUWA NA UELEWA WA SHERIA LAKINI ASIITWE MWANASHERIA...​

UMENIELEWA MPENDWA? Haya nikupe na huu mfano wa mwisho,kama ukiwa hujui kutumia kompyuta kwa lugha nyepesi niseme wewe ni mjinga katika eneo hilo la matumizi ya kompyuta,lakini ukipata maelekezo ya matumizi yake hautaitwa tena mjinga ila utaitwa una una ufahamu yaani elimu ya kompyuta lakini kamwe hauwezi kuitwa MTALAAMU WA KOMPYUTA.​

Namaliza kwa mnyumbuisho wa maneno yafuatayo. 1.ELIMU-elimika-elimisha-elimishwa. 2.SOMO-soma- someka- someshwa-somea- USOMI- MSOMI. 3.TAALAMU-taluma-mtalam.​

Kwahiyo kama utaenda darasani ukawa hukupata taaluma wewe sio msomi.
 
kama sdijakuelewa vile,,,kwani kamusi inasemaje.....na mnukuu mchangia hapo juuu alitoa viashiria vya neno msomi,,,,,
msomi , pl wasomi { English: intellectual }
noun

msomi , pl wasomi { English: learned person , pl learned people }
noun

msomi , pl wasomi { English: lecturer , pl lecturers } [derived: soma V]
noun

msomi , pl wasomi { English: reader } [derived: soma V]
noun ,

msomi , pl wasomi { English: scholar , pl scholars } [derived: Swahili -soma]
noun

5 distinct results returned (chanzo:THE KAMUSI PROJECT)
Ulichoandika hapa umeonyesha udhaifu wa kamusi katika kutoa maana. Huwezi kumjua msomi kama hujamnasibisha na fani fulani, aidha fundi, mwalimu, mwanashera au mfano wake. Kwai fundi gereji hasomi ? Lazima afundishwe ndiyo kazi aijue huenda akafundishwa darasani au sehemu ya kazi husika (site).

Au unafikiri kusoma mpaka ukae darasani kwenye madawati na mfungiwe Projector,au uvae joho na mfano wake ? Kuwaza kwa mtindo huu ni kuwaza kitoto mno. Kwa sababu historia inatunukulia wasomi na wanao rejewa katika fani mbali mbali hawakuwa na shahada, wala stashahada, wala shahada ya uzamili wala uzamivu. Mfano wa harakaharaka ni Shabaani Robert nakumbuka kama sijakosea aliishia darasa la nne (Mtanisahihisha hapa), lakini tunaambiwa yeye ndiyo baba wa Fasihi ya Kiswahili, na hawa wako wengi sana mpaka kwenye Sayansi,Falsafa na fani nyingine.
 
Enyi wasomi mlioko juu kama nyota, nani anayeingia mikataba ya kilaghai inayohatarisha rasilimali za nchi yetu kama siyo nyie?
 
SASA BASI KAMA KUSOMA MPAKA LA SABA SIO MSOMI,,,BASI MSOMI NIYULE ALIYE NA VETI VYA TAALUMA NA WALA SIO YULE AMBAYE KAFIKA CHUO NA AKASOMA LAKINI HAKUPATA CHETI CHA TAALUMA.
Kuwa na vyeti siyo usomi, usomi ni kile ulichobaki nacho. Wapo wasomi na wanazuoni kibao hawana vyeti. Hili nimelifafanua huko nyuma.
 
KAKA MBONA HAPA UMECHANGACHA MSOMI NA MTAALUMA? TONGOA KWA MAKINI,,,DADAFURA KATI YA MSOMI NA MTAALUMA.
Mtaakuma anakuwa vipi si msomi ? Msomi ni jina lenye kuainisha sifa ya umahiri katika jambo fulani ni sawa na mtaalamu wa jambo fulani, mtu huwezi kuwa mtaalamu bila kusoma yaani kufundishwa na kufanyia kazi ulichokisoma. Kujua kusoma na kuandika huitwi msomi.
 
Neno msomi lina maana zaidi ya mmoja,
1.msomi kama mtu aliyesoma shule, yaani aliyesoma Hadi hatua fulani ya masomo ya elimu rasmi.
2.Msomi ni mtu yule aliyesoma mpaka hatua za juu za elimu rasmi hasa kuanzia hatua ya shahada, uzamiri mpaka udaktari wa falsafa na uprofesa .
3 .Msomi kama mtu aliyesoma elimu rasmi na ana ujuzi wa aina mbalimbali mfano uchumi,siasa, utamaduni, michezo, jamii, jiografia , sayansi na hata biashara,
NB:tofauti ya msomi wa maana ya kwanza na ya tatu ni kwamba Msomi wa tatu anakuwa ni (multi-cultural, inter displinary)anakuwa mtu aliyejenga shule halafu ana ujuzi wa mambo mengi Sana. Msomi wa maana ya kwanza anakuwa tu na elimu fulani lakini inajikita hasa kwenye kukariri, ila vyeti Ndio vitaonesha usomi wake
 
Nimekupata
 
Back
Top Bottom