bwii
JF-Expert Member
- May 24, 2014
- 1,432
- 2,679
Na kuyafanya hayo mazingira yawe na tija kwake na kwa jamiiMsomi ni yule aliye yamudu mazingira yanayo mzunguka.. .mengine ni mbwembwe na sifa za kipuuzi tu.
Na kuyafanya hayo mazingira yawe na tija kwake na kwa jamiiMsomi ni yule aliye yamudu mazingira yanayo mzunguka.. .mengine ni mbwembwe na sifa za kipuuzi tu.
Programmers, it securities na wao kila kukicha they keep on learning ,hata hackers pia ni wasomi kila kukicha wanabuni virus,Trojans,loopholes na njia za kupitawasomi Ni wanasheria Tu, kwa sababu they always keep on learning (msije mkaelewa vibaya)
Umetoa shuduwasomi Ni wanasheria Tu, kwa sababu they always keep on learning (msije mkaelewa vibaya)
Kwanin wasiwe waalimu kwa kuwa wanajisomea kila siku na wanafundisha.wasomi Ni wanasheria Tu, kwa sababu they always keep on learning (msije mkaelewa vibaya)
Msomi au wasomi ni watu wanaopoteza muda wao kusoma MAWAZO ya watu wengine kwenye vitabu nk....huo ndio uelewa wangu.Nimejiuliza sana ili mtu awe ni msomi anapaswa awe na sifa zipi kadhalika tutaupimaje USOMI wake bado sijapata jawabu.Katika imani yangu sifa kuu ya kuwa mkristo ni kubatizwa lakini kipimo kikuu cha ukristo ni MATENDO MEMA.Sasa ukiwapima wakristo utagundua wengi ni wakristo kwa majina tu lakini kiroho ni wapagani.Hii inanipa shaka na uhusiano wa elimu au vyeti na utendaji wa brain ya mhusika.Naomba majibu waungwana
Mtu anayegundua kitu chake ni MGUNDUZI, kisha anaandika kwenye vitabu kile alichogundua hapo ndipo wanatokea WASOMI kuja kuyasoma yale yaliyoandikwa.msomi ni mtu yeyeto aliyeweza kugundua kitu chake mwenyewe,waliobakia wote wanakariri tu!