Msitoe pesa CRDB ATM ya Royal Dodoma. Ni wezi

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
40,017
Reaction score
51,144
Wakuu hawa wanaiba pesa na hutapata notification kwa sms.

ATM za CRDB zimejaa wezi

Msizitumie.

Ukiweka ATM card ile ya kuscan.

Ukitoa tu,

Wanadetails zako zote.

Hiyo ATM ya hapo Royal imejaa wezi watupu.

Wanaiba na hawana aibu.
 
Kuna jamaa yangu tangu kile kipindi walijifanya sijui mfumo umechanganyikiwa hela zikawa zinakatwa ovyo, mpaka Leo kakatwa zaidi ya 2M kaenda Kila tawi wanamzumgusha tu. Akiacha tu hela wanapita na kiasi kadhaa.
 
Toka sku ile ya MO29 niligundua benk hazna maana mtu una hela ila huwez kutoa naungana na kina NGOSHA kuweka cash ndan au zizin chin nachimbia..
 
Hakuna benki ya hovyo na mbovu duniani kama CRDB.
Nilipigwa matukio 3 ya usumbufu na wiz kwenye akaunti yangu ikabidi ni itupe.
Ile benki imeajiri wachaga mtupu wenye tamaa ya pesa.
Bora vita vya Marekani na Irani kuliko vita vya Wateja na CRDB.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…