Msiri wako ni nani JF?

Yaan wafanye kumalizia mission hii, sijapenda bila kupata final Episode.
Lol [emoji23][emoji23][emoji23]
Kasema anatafuta target akipiga asikosee 😹😹

Sema naye anauweka mpaka wambea tutasahau mke mwenzie atjibebea ushindi..!!

Alete kipindi watu tuna mizuka akija siku tuko busy kuuza vijora atakutana na minguchiro imvamie..!! 😹😹
 
Wanajua kabisa lazima kuna makaburi mengine tungeyafukua wakatuwahi. Maana lile sakata kuna dots niliziunganisha ile nimekuuliza tuu huu mwandiko unaufananisha na wa nani sekunde naona bans tuu.
Na makaburi yangefukuliwa kuna marehemu wangetoka na sanda..!! Wengine bado hawajaoza 😹😹😹

Em niambie ule mwandiko wa nani?
 
Your browser is not able to display this video.
 
Na makaburi yangefukuliwa kuna marehemu wangetoka na sanda..!! Wengine bado hawajaoza 😹😹😹

Em niambie ule mwandiko wa nani?
😀😀😀😀ankal kama tuna yangu yasitiri🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…