ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,753
- 42,233
Ukiniongeza niwe wa 3Wewe sio mkiwa, unaonaje nikikuongeza uwe mke wa 3, majukumu yako yote niyabebe.
😀😀😀 achana na IPMSiji mji umejaa laana huo! Malaya na mashoga kila kona🫢🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Acha nibaki zangu tandahimba niuze chupi
Cc, ipm 😁
Lucas kishapuliza tena kapuliza dawa za kijani😀😀😀 sio bureView attachment 3579623
Tulia mzee!Halafu kuna ID nimeiona inakumendea sana, sislewi!!
Weeeeh shindwaaaa! Sio maongezi ya hivyo🤣Imeisha iView attachment 3579491yo
Sina haraka🤣Subiri kidogo anamalizia...View attachment 3579785
Ndio.Zikiisha utataka tenaView attachment 3579781