Nishikie niwadunge sindano vizuri 😹😹😹Uduguu em tutulizane, [emoji23][emoji23][emoji23]
Maana watu wako hae hae, hawataki kukubalii.
Imekuajeee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Miaka hii tuogope lupango uduguu?? 😹😹[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu tutasekwa lupango, wee hayaaa.
🤣🤣🤣🤣Manguchiro ni mengi afu ukiyauliza wana chuki gani haswa kwangu hayana majibu ya kueleweka..!!
Na mi nafanya makusudi yanacheza beat langu vile ninavyotaka. Kama huyo mweusi bonge na top yake ya afu tatu anayarudi kweli na mwenye kibwaya pembeni yake..!!😹😹😹
Buanaa adui zangu wa kuchovya mnanipa rahaaaaaa..!!!
Umejuajeee mahiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23]Miaka hii tuogope lupango uduguu?? [emoji81][emoji81]
Tushazoea afu kwanza tukiwekwa lupango kutaboa humu. Nguchiro wenyewe walitumiss basi tu hawataki kusema ukweli..!! [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nishikie niwadunge sindano vizuri [emoji81][emoji81][emoji81]
Wanabweka tu ila washakubali hizo zilizobaki ni maumivu ya sindano..!!
Woyoooooooo..!!! 🤸♀️Raha ya JF ujiaminii na uwe unajiweza kwa njegeka na heka heka zotee.
Yaan shengeshaa uzimudu haswaaa!! Tulishavuka hukoo, watu walikimbia na kuzitelekeza I'd zao, ila sisi wakongwe tuko nginja nginja hapa na I'd zetu OG.
watu tulishawafurusha kundi zima na wakapoteana mmoko baada ya mwiunee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnayoyafanya huko PM nyie wenyewe mnatuletea sisi washika masijala incase mkikwazana mkiyaleta hapa, sisi tusawazishe mtanange.
Kulikoniiii??? Mkiyaleta hapa sisi tunapiga beat, na waja wanaanza kusakata rhumba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu umbea na udaku wowote hapa JF bila sisi haunogi, ndo maana mnatusogezea wenyewee kwa ridhaa yenu, kwani tunawaita au kuwaagiza mtuletee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Em waja msichoke kuleta kiu zenu kwetu, sisi tuko hapa kuwakata kabisaa.
Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
Si tunajua pa kupiga wapi ili wacheze. 😹😹Umejuajeee mahiiii?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Watu weuweeeeeeeeee!!
Safari za mamba kenge hawakosi ndo hao nguchiro..!![emoji23][emoji23][emoji23]
Uduguuu kwani tunapigajee? Ujue nacheka nini? Debo na fake p wako pembeni, wameibuka wapyaa kulikoniii?
Mie nataka Debo na fake P wamalizie pambano sikubaliii nikose hitimisho.
Wee!!
Ena wenga Mlongo!!Woyoooooooo..!!! [emoji2222]
Umemala umemaliza uduguu leka minguchiro..!! [emoji81][emoji81][emoji81]
Yani kwanza umbea wowote ukishikiliwa bila sisi hata haunogi ndiomana hata mods hawana time nao..!! [emoji81][emoji81]
Wao waendelee kutupia piem na sisi wambea mafile tukiyapata tunaruka nayo na sio shida zetu..!!
Bana kwanza tumtafute kamanda aje amalizie ubuyu au novena ya kimalaya ishamfikia kapigwa upofu [emoji1787][emoji81][emoji81][emoji81]
Kwa kwelii mahi, [emoji23][emoji23][emoji23]Si tunajua pa kupiga wapi ili wacheze. [emoji81][emoji81]
Raha ya JF ujiaminii na uwe unajiweza kwa njegeka na heka heka zotee.
Yaan shengeshaa uzimudu haswaaa!! Tulishavuka hukoo, watu walikimbia na kuzitelekeza I'd zao, ila sisi wakongwe tuko nginja nginja hapa na I'd zetu OG.
watu tulishawafurusha kundi zima na wakapoteana mmoko baada ya mwiunee, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mnayoyafanya huko PM nyie wenyewe mnatuletea sisi washika masijala incase mkikwazana mkiyaleta hapa, sisi tusawazishe mtanange.
Kulikoniiii??? Mkiyaleta hapa sisi tunapiga beat, na waja wanaanza kusakata rhumba. [emoji23][emoji23][emoji23]
Afu umbea na udaku wowote hapa JF bila sisi haunogi, ndo maana mnatusogezea wenyewee kwa ridhaa yenu, kwani tunawaita au kuwaagiza mtuletee? [emoji23][emoji23][emoji23]
Em waja msichoke kuleta kiu zenu kwetu, sisi tuko hapa kuwakata kabisaa.
Woiiiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsante nakupenda kuliko ninavyoipenda ccmNakupenda sana
😹😹😹Ena wenga Mlongo!!
Kwanini Nguchirooo? Ila Msigwa ana mambo, ko hasahau kabisa kunyumba.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Unamjua nguchiro mahi? Woiiiiih.
Modes wenyewe wanajua JF bila sisi haitembeii, wanatu ban huku roho zinawauma, maana reports za waja zinawakera. Lol
Yaan kamanda aje atuletee final episode, [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutuacha na to be continued, sijapendaaaa.
Ni kupiga pah! Mikunguni inaibuka na kuugulia maumivu..!! 😹😹😹Kwa kwelii mahi, [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha nikifika bei niuze tu🤣 ila sio kwa bei ya hasaraKatika watu nilotakiwa niwauze ni min maana namjua ndani nje! Ila nimeufyata!😃
Hiyo hapana bwashee 🤣Ah bei ya promotion😂 au ya jioni😂