wanikaange wakati natumia rasilimali zangu? mi najua ninacho kifanya hata sibabaiki😆😆😆Hupepesi macho sio! Subiri wakukaange hiyo siku sikutetei😂
Mimi nikajua wa jf wako mars, basi tuangalie wa madhabahuni😅
Unaremba dagaa wakati mawashio🤣
Zitatolewa ndio😆Ila zako zitatolewa tu😃
Wanaumia hadi kwa nini amepata kazi bank. wanaohoji na kuumia kwa nini anafanya kazi bank.Umenichekesha, mwenyewe ninajua kama hushei umbile lako na mtu why watu waumie kiasi hiki? as long as hakuna k ilopotea huko! Sasa hivi kila mtu humu malaya kasoro wao🤣
Mimi nikipata muda wala sipepesi jicho! Hujanizaa nikuwazie we kama nani yani? Ukiletea shobo nakupa unachostahili..
Nikajua umebeba nyuchi ya wenyewe!wanikaange wakati natumia rasilimali zangu? mi najua ninacho kifanya hata sibabaiki😆😆😆
Hahhaaa hebu usitoe siri zangu!wacha nizirembe maana zikikosekana nitakula ugali na chumvi mpka nikome😅😅
Win ana Siri zako 😆Nikajua umebeba nyuchi ya wenyewe!
Hahhaaa hebu usitoe siri zangu!
Hahhaha basi jitahidi kutuma view once kama mimi, mambo ni mengi sana, kina deputy Jesus wakikufikia uwe na glucose pembeni ulambe😅Zitatolewa ndio😆
Ila haitafanya mwenye kuzitoa apone sukari yake U T I aliyonayo
Kwa sababu atazidiwa na maradhi ya husuda baada ya kunianika na ndio kwanzaa napeta😆
Ila itaniuma kiduchu😢
Heri ucheke uongeze siku maana wakoswa kazi tuko lundo humu ndani🫢Vingine nikivikumbuka nabaki kucheka😂
View once na watu wana simu mbili 😆Hahhaha basi jitahidi kutuma view once kama mimi, mambo ni mengi sana, kina deputy Jesus wakikufikia uwe na glucose pembeni ulambe😅
Kwa kweli🔨Msiri wangu ni mimi mwenyewe.
Three can keep a secret, if two of them are dead.
Naye ana mtihani mkubwa jamani, ana kikundi hakilali kinamfuatilia mienendo yake sio poa! Bado watasema hana kazi anakuja kuwinda jf, sijui hawajawahi kuwaona wanaowahisi ni matajiri jf wakaacha ujinga! 🤣Wanaumia hadi kwa nini amepata kazi bank. wanaohoji na kuumia kwa nini anafanya kazi bank.
Unaeza kuona jinsi depal alivyo na raha sababu haters wake ni watu wenye akili ndogo sana
Siri za dagaa mama, mimi siri zangu hakuna mwenye nazo, watungaji special mnao humu tulieni muandikiwe script za kufikirika😃Win ana Siri zako 😆
Ebu alewe tuone