Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

Msiokunywa pombe, mnastarehe vipi?

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
37,107
Reaction score
55,521
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.

Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.

Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.

Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.

Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?​
 
Pole Sana mkuu ngoja niite jopo langu.

Cc. min -me , secretarybird , Monetary doctor , Harmful , Castle_Lite

E.t.c
 
akuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?
mie binafsi najifungia ndani na hizi hapa, sitoki nje kama mwali, majirani wanahisi nimesafiri
veet.PNG

Nikihisi nyege, nyeto inahusika
nikitaka kisinia sitoki, ni kuagizia toka mbali
 
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.

Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.

Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.

Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.

Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?​
Kutokunywa pombe ndiyo starehe yenyewe.
 
Unahuzunika kutokula kitu kinachokidhuru? Kama umeacha pombe,juisi pia sio option nzuri kwako mkuu
 
Kutokana na changamoto za kimwili na kiafya, nimeshauriwa niache kwa muda kunywa pombe.

Sasa najihisi kama niko kifungoni, sifurahii maisha kabisa; nakunywa juisi, soda, maji n.k nyama zote nakula, natembea kutoka pointi moja hadi nyingine, totozi hakuna shida.

Pamoja na yote hayo, naona sifurahii maisha kabisa kwa sababu ya kutokunywa pombe, najiona napwaya kabisa.

Kama ni viwanja, wale wakaribu yangu watakunywa pombe ila mimi napiga tu maji na juisi tu.

Wakuu, msiokunywa pombe, mnafurahiaje maisha?​
Tukiwaona nyie mnavoyumbayumba bila sababu😂😂sisi kwetu raaaaaahaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom