Injili lazima ihubiliwe kwa viumbe wote!
Yesu alisema; Msiogope hawa wanaowatishia kuuwa mwili peke yake, Bali mwogopeni sana Mungu ambaye anauwa vyote yaani Mwili na roho na hao wanaowatisha!
Shetani kazi yake ni kutisha na kuuwa mwili peke yake! LAKINI mwenye mamlaka ya MWILI NA ROHO ni MUNGU MWENYEWE!
Hivyo msiogope hawa bali tumwogope mwenye mamlaka ya vyote ambae anauwezo hata usipokuja ibadani anauwezo wa kukunyakua ulipo huko!
Huyu ni Mungu anaejua hadi idadi ya NYWELE ZAKO huko uliko!
Ukimkana kisa kuogopa mabomu ya machozi na yeye kasema Atakukana MBINGUNI!
AMSHANENI TWENDENI KIFUA MBELE MAJESHI YA MALAIKA WALIOANDALIWA JUU YETU NI WENGI KULIKO WAO!
Shetani na vibaraka wake Apigweeeee....Tukutane Tumsifu bwana kwa nguvu zote!