TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,589
- 28,653
Kosovo lilikuwa Taifa....!!!? Ujisikilize unapooandika.Palestine sio taifa haijawahi kuwepo ila Ukraine ni taifa huru
Kosovo lilikuwa Taifa....!!!? Ujisikilize unapooandika.Palestine sio taifa haijawahi kuwepo ila Ukraine ni taifa huru
Kwanin huyarusha?Palestine huanza kurusha maroketi Israel
Hana akili huyo..yaani hajielewiKosovo lilikuwa Taifa....!!!? Ujisikilize unapooandika.
Hayo ni maoni yako au ya PutinPutin alikuwa ameamua kulifutilia mbali hili Taifa, lakini naona kashakutana na kisiki cha mpigo toka watu wa Magharibi