Msimlaumu Sana Magufuli - Ubepari Ni Unyama Msisahau

Uko karibu sana na ukweli; na ukiangalia ni kana kwamba hakuna cha kujifunza tayari wameanza kuzungumza vile vile tena kuelekea 2020..
Tusiwalaumu wasioendesha serikali kwa failure za serikali ya sasa. Makosa ya kina Mbowe hayajatufikisha hapa.
Na kwa taarifa yako, hata Dr angesimama na Maghufuli bado asingepita kwa mfumo wa uchaguzi uliopo.

Tusione giza tukakojoa ndani !! Huyu jamaa anaturudisha kwenye huo ujamaa bila plani mpya. Na hajajiuliza ni kwanini tulikwama hapo kabla.
 
Ubepari ndo unamfanya atunze hela ya nchi kama ya familia yake?

Ubepari ndo unamfanya apigane vita ya uchumi kwa kutumia jeshi badala ya principles?

Ubepari ndo unasababisha asisikilize washauri?
Mkuu unatokwa na povu bure.Kwanza tukubaliane kitu kimoja ambacho nadhani ni msingi was haya tuyaonayo Leo.
Mwaka was 2015, Watanzania wengi,Kama Sio wore walitaka MABADILIKO.
Kwa Nini walitaka Sana hayo MABADILIKO? No kwa sababu serikali haikujali Sana waenfeleo ya watu,BALI kina mwenye nafasi ALITUMIA hiyo nafasi KUJIENDRZA yeye na watu WANAOMZUNGUKA.
Matokeo ya hayo,ilikuwa ni rahisi,kwa mwenye fedha kwenda kupora ardhi ya Kijiji kwa kuhonga mwenyekiti na kamati yake kwa kutengeneza muktasari was uongo kwamba wanakijiji wameridhia bepari apewe atdhi yote ya Kijiji.
Bajeti ya serikali haikufanya jazi qliyokusudiwa,watu waligawana fedha za serikali bila huruma.Kumbuka mkuu hayo yalipokuwa yanatendeka tulikuja tunalalama kwamba serikali ni legelege,haichukui maamuzi mugunu,mkuu was nchi badala ya kutatua matatizo yaliyopo yeye anasafiri Sana,
Ndipo ikaja dhana ya MABADILIKO ili tais ajae asiwe Kama rais aliyemaliza muda wake.
Akaja huyu ambaye naamini WOTE YUNAKUBALINA Yu tofauti na mtangulizi wake Kama tulivyotaka .Kwa Mara ya Kwanza katija historians ya nchi hii,vituo vya afya na hospitality za wilaya zinazojengwa ki ukweli haijaeahi kutokea.
MABIDILIKO NI MABADILIKO maana Pana ni kutoka kwenye mfumo zoelefu kwenda kwenye mfumo fikirishi Hivyo ndani ya MABADILIKO Kuna mabonde ,vilima,mito,jua mvua vyote vikitakiwa kutatuliwa ili kuifikia neema ya kweli na ya wore
Sisi WATANZANIA asili yetu ni UVIVU,TANATAKA kupata fedha nyingi BILA kufanya KAZI,Mwizi ATAITATWA MJANJA
Leo hii maelefu kwa maelfu ya vijana wanateketezq mabilioni kwa Sio matrilioni kwenye kuchezq kamari na kubeti,YOTE NI katika UVIVU was kufanya KAZI na kutaka FEDHA bila kufanya kazi
Rai tubadilike Kama tulivyoomva nwaka 2015,tufanye kazi,kazi ndio msingi was Kila kitu duniani CHO CHOTE UNACHOTAKA binadamu utakipata kwa kufanya kazi na kumuom ba MUNGU akufikishe kwenye azima yako.
Kukaa na kuangalia tu utaishia kwenye majungu.
 
Wamesahau kuwa katika mfumo huu ni wachache ndio wanafaidika na rasilimali za nchi...
 
wewe subiri tu ... zamu ya kútekwa MMMkijiji imeshafikia
 


Tanzania haifuati aina yoyote ya uchumi ulio rasmi dunian, bali inafuata nini rais aliye madarakani anataka kwenye uchumi.
 


Post yako namba moja ni kama unamnanga mkulu na uchumi wake.
 
Ubepari ndio asili ya binadamu,msingi wa mafanikio na maendeleo yote makubwa duniani.Kama hauukubali nenda kaishi Korea ya Kaskazini.
 
Sasa kwanini haupo Mpiji Majohe badala yake unaishi kwa hao mabepari ?
Nakwambia huyu mtu kufikiri na kuchanganua mabo kuko at its lowest level, hafikiri kabisa na kufanya logical resoning. Unakaa kwa wanyama? Yaani huyu mtu alikuwa na akili, kuingia muuaji ya kabila lao yamebadilika! Ubepari ni unyama lakini wote mnakimbilia huko. Unangagania kukaa huko kwa wanyama? Mexico inajengewa ukuta kuwazuia malaika wasiende kwa wanyama? Wanyama mnawategemea bajeti yenu kwa 60%.?
 
Ulitaka kuandika nini hapa
 
Sijaanza leo kutetea mtu akistahili kutetewa au kukosoa mtu anapozingua
 
Unafikiria China hawafungi benki zinazojiendesha kwa hasara au kwa matatizo? China ina jaribu kutengeneza ubepari kwenye ujamaa.. na inaonekana kushindwa.. Bila nguvu za jeshi na polisi China isingekuwa China..
Ndio maana na JPM nae anataka kila kitu kifanywe na jeshi.
Korosho wakusanye wao na michezo waende wanajeshi.

Hivi Ujamaa (100%) kuna sehemu umeleta maendeleo ya watu??
 
Uchumi ulishaharibika ila ulikuwa unakwenda tu..utakaposahihishwa vizuri na kuanza kujiendesha mtasahau yote haya na tumshukuru Mungu
Mkuu una ushiriki wowote wa ndani wa hiyo kamati ya kurekebisa uchumi??

Au ni outsider kama sisi, ambae unakuwa tuu optimistic na kinachoendelea??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…