Kufanya Biashara na Taasisi ni changamoto sana

DeepPond

JF-Expert Member
Nov 18, 2017
40,497
99,296
KESI YA PILI,
Wanakuja Watu wa taasisi wanakuja kwako wanataka material

Unawaambia
"Hapa bila cash hamna mzigo wakuu"

Wanakwambia pesa zipo na zishaingizwa kwenye force account.

Unasema "sawa tufanye KAZI"

Siku ya kwanza Wanachukua mzgo wanalipa cash. Siku inayofata wanachukua mzigo wanalipa cash.

Sasa Kama mjuavyo hasa kwenye mambo ya ujenzi, Kuna vitu kadha wa kadha vinasahaulika na vingine huibuka pale pale saiti kutokana na mahitaji ujenzi husika.

Mtu wa taasisi atakwambia,
"Kaka namtuma kirikuu, mpe Moja mbili tatu pesa nakuja nayo nikitoka saiti" . unasema "sawa"

Ikifika jion kimya,
Unamuacha mpk kesho yake
Ukimtafuta anakwambia
"Kaka Jana MDA ule benki washafunga, na leo sijaenda saiti tulikua na kikao, tuonane kesho"
Unasema "sawa"

Kesho yake ukimtafta Anakwambia,
"Kaka pesa yako imechelewa, Kuna signatory mmoja ametoka. Haya mambo ya taasis pesa hazitoki kwa sahii ya mtu mmoja. Tuko Kama watano kusiani ndo kuidhinisha malipo" . Unasema "sawa"

Wanakaa zaidi ya wiki ndo unalipwa pesa zako na ujenzi wao bado unaendelea, wakifika hatua ya kuanza kutindua kuta na kulaza mabomba ya umeme na maji watakutafuta Tena mkae mezani.

Utaletewa orodha kubwa ya vifaa vya maji na umeme uorodheshe Bei zao utakazowauzia.
Unawauliza
"Mnataka bei za cash cash au mkopo?"
Watakwambia,
"Kaka Mbona mzito kuelewa?"
"Hapa tuuziane cash cash, ushaambiwa Mzigo umewekwa kwenye force account, unalipwa cash cash"

Unasema
"Basi sawa, Bei ntawauzi hizi hapa"
Kisha unazijaza hiz Bei kwa Kila bidhaa kweye fomu zao na kuzisaini. Wanazichukua na kuondoka zao.

Wiki zinapita, hawaji kununua Mzigo
Miezi inapita, hawaji kununua mzigo
Mwaka unaisha, hawaji kununua mzigo.
Kumbe mradi umesimama, pesa hazijaja na hawakwambii.

Baada ya mwaka na kitu ndio wanaibuka, na Lile fomu lao la Bei za mwaka Jana ulizowaandikia.

Wanakuja na cash kabisa kabisa wanataka mzigo wao wakamalizie mradi. Unawaambia
"Wakuu, mmechukua Moja mbili tatu, jumla mzigo wote mnapaswa kulipia shilingi Fulani"

Wanastuka na kutizamana usoni,
"Wewe jamaa, sisi pesa tuliyopewa ni Hii Hapa. Usitake kutupandishia Bei.
Fomu yako Hii Hapa ulituandikia na kusaini mwenyewe"

Unawaambia,
"Ni kweli, ila mzigo wa kipindi kile sio sawa na mzigo nilonao wa Sasa.

Kwa Sasa bidhaa mnazotaka Bei zimepanda sana, na Hizi Bei nilioandikia mlisema mnanilipa cash cash siku ile afu mkapotea jumla.

"Inakuaje mnakuja mwaka huu mnataka niwauzie kwa Bei za mwaka Jana? Na Bei wenyewe hizi za Corona vitu vimepanda bei Zaid ya mara mbili"

Wanasema
"Hilo la Bei kupanda sisi halituhusu, kwahiyo Unatuuzia hutuuzii?"

Unawajibu,
"Kiukweli kwa Bei hizo mlizokuja nazo, siuzi mzigo bora uozee TU dukani. Mkamuungishe TU mwingine, haikua riziki yangu. Mtaa huu Maduka yako mengi wakuu"

Wanajibu, "sawa, tunaondoka"

Baada ya wiki wanarudi Tena,
"Aisee Kaka hebu tuuzie mzigo, Hii ishu Ni urgent. Huu mradi unatakiwa uzinduliwe na mweshimiwa na atakuja kuukagua. Mfumo tu unazingua, kesho kutwa pesa yako unaingiziwa"

Unawaambia,
"Kiukweli kwa ulipaji wenu, ni ngumu Sana kuwapa mzigo. Nyie nendeni mkakope mahali mje na cash niwape mzigo muende. Au chukueni mishahara yenu mjazie, pesa ya mradi ikiingia mtajirudishia pesa zenu. Kwangu hapana"

Watakwambia
"Unazingua, wewe dawa yako ndogo"

Unasema "POA wakuu"

Basi hujakaa sawa,
Unashangaa Kuna pesa inaingia kwenye account yako kimya kimya.

Unasubiri labda Kuna mteja atakupigia Simu kukufahamisha kua kakuingizia pesa,Anataka mzigo flani.Nako kimya.

Zaidi ya wiki imepita tangu uingiziwe pesaUnashangaa maaskali wamekuja kukukamata bila maelezo yoyote.

Ukifika kituoni unauliza shida Nini, unaambiwa Ni maelekezo ya kiongozi fulani kapewa mamlaka ya kukuweka ndani masaa 48 bila maelezo.

Unalala siku ya kwanza kituoni,
hamna maelezo ya kueleweka.
Siku ya pili unaambiwa
"unahujumu mradi makusudi, umegoma kutoa mzigo na pesa ushalipwa"

Unabaki mdomo wazi,
Unauliza "pesa gani hiyo nishalipwa?"

Wanakwambia
"ushahidi Ni huu Hapa"
(Unaonyeshwa Bank slip ya ile pesa iliyoingia kimya kimya kwenye account yako).

Wanaongezea
"Hii kesi huna dhamana utapelekwa mahakamani kwa kuhujumu na kuchelewesha mradi makusudi na pesa ushalipwa na ushahidi tunao"

Ukishasikia habari ya kesi tena
Roho inakuruka, unaomba mkae mezani myazunguze kumaliza utata.

Majamaa Wanataka figure za pesa zinazowaijia TU kichwani wanavojiskia.

Unajisemea "pesa zinatafutwa, Uhuru kwanza "Unawalipa unatolewa ndani.

Mpaka unaruhusiwa kutoka ndani,

Tayari Ushanyonyoka pesa kibao ambazo hata ungewauzia kwa Bei ile ya hasara zisingefikia kiasi hicho walichokupiga.

Ukirudi mtaani unakua Kama unaanza na Moja Tena, majuto na masononeko kibao.

Wakitoka hapo,
Watu hao hao wa taasisi Wanakuhama
Na Hawanunui Tena kwako.

Biashara na Taasisi Zina frustration sana,
Yamenikuta mwaka huu na najuta
 
Baada ya mwaka na kitu ndo wanaibuka, na Lile fomu lao la Bei za mwaka Jana ulizowaandikia.

Wanakuja na cash kabisa kabia wanataka mzigo wao wakamalizie mradi. Unawaambia

"Wee jamaa, sisi pesa tuliyopewa Ni Hii Hapa. Usitake kutupandishia Bei.

Kwa Sasa bidhaa mnazotaka Bei zimepanda sana,na Hizi Bei nilioandikia mlisema mnanilipa cash cash siku ile afu mkapotea jumla.

"Inakuaje mnakuja mwaka huu mnataka niwauzie kwa Bei za mwaka Jana?Na Bei wenyewe hizi za Corona vitu vimepanda bei Zaid ya mara mbili"

Wanasema
"Hilo la Bei kupanda sisi halituhusu, kwaiyo Unatuuzia hutuuzii?"

"Aisee Kaka hebu tuuzie mzigo, Hii ishu Ni urgent. Huu mradi unatakiwa uzinduliwe na mweshimiwa na atakuja kuukagua. Mfumo TU unazingua, kesho kutwa pesa yako unaingiziwa"

Unawaambia,
"Kiukweli kwa ulipaji wenu, Ni ngumu Sana kuwapa mzigo. Nyie nendeni mkakope mahali mje na cash niwape mzigo muende. Au chukueni mishahara yenu mjazie, pesa ya mradi ikiingia mtajirudishia pesa zenu. Kwangu hapana"

Watakwambia
"Unazingua, wee dawa yako ndogo"

Ukifka kituoni unauliza shida Nini, unaambiwa Ni maelekezo ya kiongozi flani kapewa mamlaka ya kukuweka ndani masaa 48 bila maelezo.

(Unaonyeshwa Bank slip ya Ile pesa iliyoingia kimya kimya kwny account yako).

Ukishasikia habar ya kesi tena

Unajisemea "pesa zinatafutwa, Uhuru kwanza"Unawalipa unatolewa ndani.

Ukirud mtaani unakua Kama unaanza na Moja Tena, majuto na masononeko kibao.

Mtu akikudhulumu kwa staili mwekee kisasi CHA MILELE......

Na wewe kama kauwezo KAPO siku MOJA MFANYIZIE.... akiwa nje ya TAASISI hakuna KITU ni mwepesi kama KIFURUSHI CHA PAMBA...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 NAFIKIRIA TU JAMANI MSINIPIGE MAWE....

KWA KWELI SIPENDI MAMBO YA KUDHULUMIANA ila na wewe DeepPond sometimes Mungu anakunyoosha kwa kuwatumia WAHUNI kwa sababu na WEWE unahangaisha WENGINE.... Wadada, wake na Wamama wa WATU
 
Mhhhh piga vibao nje huko kimya kimya, wabuluze haswa kama yule wa humu JF ulimchafua hadi akaachwa na mkewe hao wakandarasi, sijui wahasibu unawashindwa unaniangusha brother
 
inasikitisha yaani vyombo vyakuaminika ndio vinafanya ubabaifu pole kaka, next time kwenye quatation yako unayowapa hakikisha kipengele cha bei elekezi ni ya mda huo na si vinginevyo quatation ni valid kwa muda fulani tu baada ya hapo haitofanya kazi ila sijui kwa huo uhuni hapo chini unaukwepaje?
 
Mhhhh piga vibao nje huko kimya kimya, wabuluze haswa kama yule wa humu JF ulimchafua hadi akaachwa na mkewe hao wakandarasi, sijui wahasibu unawashindwa unaniangusha brother
Sawa Yao inachemka,
Malipo Ni Hapa Hapa mkuu,
Mbinguni Ni mahesabu tu
 
KESI YA PILI,
Wanakuja Watu wa taasisi wanakuja kwako wanataka material

Unawaambia
"Hapa bila cash hamna mzigo wakuu"

Wanakwambia pesa zipo na zishaingizwa kwenye force account.

Unasema "sawa tufanye KAZI"

Siku ya kwanza Wanachukua mzgo wanalipa cash. Siku inayofata wanachukua mzigo wanalipa cash.

Sasa Kama mjuavyo hasa kwenye mambo ya ujenzi, Kuna vitu kadha wa kadha vinasahaulika na vingine huibuka pale pale saiti kutokana na mahitaji ujenzi husika.

Mtu wa taasisi atakwambia,
"Kaka namtuma kirikuu, mpe Moja mbili tatu pesa nakuja nayo nikitoka saiti" . unasema "sawa"

Ikifika jion kimya,
Unamuacha mpk kesho yake
Ukimtafuta anakwambia
"Kaka Jana MDA ule benki washafunga, na leo sijaenda saiti tulikua na kikao, tuonane kesho"
Unasema "sawa"

Kesho yake ukimtafta Anakwambia,
"Kaka pesa yako imechelewa, Kuna signatory mmoja ametoka. Haya mambo ya taasis pesa hazitoki kwa sahii ya mtu mmoja. Tuko Kama watano kusiani ndo kuidhinisha malipo" . Unasema "sawa"

Wanakaa zaidi ya wiki ndo unalipwa pesa zako na ujenzi wao bado unaendelea, wakifika hatua ya kuanza kutindua kuta na kulaza mabomba ya umeme na maji watakutafuta Tena mkae mezani.

Utaletewa orodha kubwa ya vifaa vya maji na umeme uorodheshe Bei zao utakazowauzia.
Unawauliza
"Mnataka bei za cash cash au mkopo?"
Watakwambia,
"Kaka Mbona mzito kuelewa?"
"Hapa tuuziane cash cash, ushaambiwa Mzigo umewekwa kwenye force account, unalipwa cash cash"

Unasema
"Basi sawa, Bei ntawauzi hizi hapa"
Kisha unazijaza hiz Bei kwa Kila bidhaa kweye fomu zao na kuzisaini. Wanazichukua na kuondoka zao.

Wiki zinapita, hawaji kununua Mzigo
Miezi inapita, hawaji kununua mzigo
Mwaka unaisha, hawaji kununua mzigo.
Kumbe mradi umesimama, pesa hazijaja na hawakwambii.

Baada ya mwaka na kitu ndio wanaibuka, na Lile fomu lao la Bei za mwaka Jana ulizowaandikia.

Wanakuja na cash kabisa kabisa wanataka mzigo wao wakamalizie mradi. Unawaambia
"Wakuu, mmechukua Moja mbili tatu, jumla mzigo wote mnapaswa kulipia shilingi Fulani"

Wanastuka na kutizamana usoni,
"Wewe jamaa, sisi pesa tuliyopewa ni Hii Hapa. Usitake kutupandishia Bei.
Fomu yako Hii Hapa ulituandikia na kusaini mwenyewe"

Unawaambia,
"Ni kweli, ila mzigo wa kipindi kile sio sawa na mzigo nilonao wa Sasa.

Kwa Sasa bidhaa mnazotaka Bei zimepanda sana, na Hizi Bei nilioandikia mlisema mnanilipa cash cash siku ile afu mkapotea jumla.

"Inakuaje mnakuja mwaka huu mnataka niwauzie kwa Bei za mwaka Jana? Na Bei wenyewe hizi za Corona vitu vimepanda bei Zaid ya mara mbili"

Wanasema
"Hilo la Bei kupanda sisi halituhusu, kwahiyo Unatuuzia hutuuzii?"

Unawajibu,
"Kiukweli kwa Bei hizo mlizokuja nazo, siuzi mzigo bora uozee TU dukani. Mkamuungishe TU mwingine, haikua riziki yangu. Mtaa huu Maduka yako mengi wakuu"

Wanajibu, "sawa, tunaondoka"

Baada ya wiki wanarudi Tena,
"Aisee Kaka hebu tuuzie mzigo, Hii ishu Ni urgent. Huu mradi unatakiwa uzinduliwe na mweshimiwa na atakuja kuukagua. Mfumo tu unazingua, kesho kutwa pesa yako unaingiziwa"

Unawaambia,
"Kiukweli kwa ulipaji wenu, ni ngumu Sana kuwapa mzigo. Nyie nendeni mkakope mahali mje na cash niwape mzigo muende. Au chukueni mishahara yenu mjazie, pesa ya mradi ikiingia mtajirudishia pesa zenu. Kwangu hapana"

Watakwambia
"Unazingua, wewe dawa yako ndogo"

Unasema "POA wakuu"

Basi hujakaa sawa,
Unashangaa Kuna pesa inaingia kwenye account yako kimya kimya.

Unasubiri labda Kuna mteja atakupigia Simu kukufahamisha kua kakuingizia pesa,Anataka mzigo flani.Nako kimya.

Zaidi ya wiki imepita tangu uingiziwe pesaUnashangaa maaskali wamekuja kukukamata bila maelezo yoyote.

Ukifika kituoni unauliza shida Nini, unaambiwa Ni maelekezo ya kiongozi fulani kapewa mamlaka ya kukuweka ndani masaa 48 bila maelezo.

Unalala siku ya kwanza kituoni,
hamna maelezo ya kueleweka.
Siku ya pili unaambiwa
"unahujumu mradi makusudi, umegoma kutoa mzigo na pesa ushalipwa"

Unabaki mdomo wazi,
Unauliza "pesa gani hiyo nishalipwa?"

Wanakwambia
"ushahidi Ni huu Hapa"
(Unaonyeshwa Bank slip ya ile pesa iliyoingia kimya kimya kwenye account yako).

Wanaongezea
"Hii kesi huna dhamana utapelekwa mahakamani kwa kuhujumu na kuchelewesha mradi makusudi na pesa ushalipwa na ushahidi tunao"

Ukishasikia habari ya kesi tena
Roho inakuruka, unaomba mkae mezani myazunguze kumaliza utata.

Majamaa Wanataka figure za pesa zinazowaijia TU kichwani wanavojiskia.

Unajisemea "pesa zinatafutwa, Uhuru kwanza "Unawalipa unatolewa ndani.

Mpaka unaruhusiwa kutoka ndani,

Tayari Ushanyonyoka pesa kibao ambazo hata ungewauzia kwa Bei ile ya hasara zisingefikia kiasi hicho walichokupiga.

Ukirudi mtaani unakua Kama unaanza na Moja Tena, majuto na masononeko kibao.

Wakitoka hapo,
Watu hao hao wa taasisi Wanakuhama
Na Hawanunui Tena kwako.

Biashara na Taasisi Zina frustration sana,
Yamenikuta mwaka huu na najuta
Kaka...kuna kitu wanaita "bid validity period", na kingine "Validity of the Proforma invoice", je vilikuwepo kwenye makubaliano yenu ya awali?au walikujazisha form Gani?
 
Kama huna mtaji au una mtaji wa kuunga unga usifanye utafikisika unajiona.

Huwa wanalipa Hadi Miaka 2 au zaidi hasa Serikali,ndio maana kampuni za kimataifa wao wanapenda kufanya na Serikali kwa sababu mikataba Yao hulinda value for money kwa riba na malipo kufanywa kwa dola..

Ndio maana utasikia gharama za mradi Ni dola kadhaa Ila wewe mswahili wa ndani unalipwa kwabshilingi na Mkataba hauna kipengele Cha riba hapo utaona Moto.
 
Kuna brother wangu anaidai halmashauri moja huku kusini zaidi ya Million 70+ huu mwaka wa pili... ana duka la vifaa vya Ujenzi,, ameyumba sana, ameuza magari yake mawili ya kutembelea kupambana na mikopo yake benk,, aise Aya Mambo acha kbsaa!!
 
Inaumiza Sana mkuu
 
Back
Top Bottom