Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Go back to the post, you would have noticed 2 posts of yours. Read them

Marked red; Very healthy, it is called intuitive knowledge.

I have read. You fail to make your case.

And no, to be challenged by any elementary level of complexity is not "very healthy". The appropriate word would be "retarded".
 
Hapo juu umesema akiachwa kwenye urais ataondoka, na atamwaga siri. Ila jua moja katika maisha kuna failures na winning yote ni sehemu ya maisha, sasa akimwaga hizo siri yaweza kuwa ni failures kama kweli hizo siri zipo.
Hapa soimkatai Zitto kuwa candidate ila njia yenu mnayotumia inaniboa, kwanini mje kwa vitisho? kwanini asisimame kwa merits? Hajiamini? Hakubaliki? mpaka atumie haya mautumbo?

Ukifatilia hiyo post ilipoanzia utakuta hilo lilikuwa ni jibu kwa swali nililoulizwa. Naomba kalisome utanielewa.

Ni kipi kilichokufanya uogope? kuambiwa mtaumia? hiyo kiingereza wanasema "rhetoric" na sikumaanisha mtaumia "physically" kwa hiyo usiogope, ni njia ya kufikisha ujumbe. Labda emotionally, who knows?
 
I have read. You fail to make your case.

And no, to be challenged by any elementary level of complexity is not "very healthy". The appropriate word would be "retarded".

You, Ad Litem? for whom? mine was a simple warning, was it an Action yours would have been "Affirmative defense".

Do not try to convince us your Kiswahili is that poor not to know what "msimjaribu" and "mtaumia" means to call it a "case".
 
Du! Zomba nimemkubali yani toka asubuhi amejibu kila comment! Sijui hata kama leo kala chakula, ugamba mzigo jamani...

Halafu ameanzisha huu ujinga hapa ili kumchafua tu Zitto.Lakini namshauri wakati akikuwadia Magamba hapa awaambie pia tayari mikoa ya kusini imeshatekwa na CDM
 
Ninasikitika kusema kuwa hii stori yote kuanzia muanzisha mada na baadhi ya wachangiaji ina harufu ya UAMSHO(UDINI).....
Kila la heri...

"Mpaka kieleweke" - Sheikh Farid.

Hujamsikia?
 
Halafu ameanzisha huu ujinga hapa ili kumchafua tu Zitto.Lakini namshauri wakati akikuwadia Magamba hapa awaambie pia tayari mikoa ya kusini imeshatekwa na CDM

Punguza munkar, kunywa maji urudi tena na lugha za kiungwana. Uandikavyo si vyema kwa kijana wa magwanda ya khaki.
 
You, Ad Litem? for whom? mine was a simple warning, was it an Action yours would have been "Affirmative defense".

Do not try to convince us your Kiswahili is that poor not to know what "msimjaribu" and "mtaumia" means to call it a "case".

Totally out of whack.

Bottom line here is that a cult of personality cannot trump an examination of principles and policies.

If you concede on this, you will rearrange your propaganda towards espousing Zitto as an agent of these principles and policies, a torch bearer if you wish.

Not the "deus ex machina" caricature prone to be the butt of pantomime ridicules. In an attempt to elevate Zitto you are actually unfairly caricaturing him as some observers alluded to above.
 
Mbona mpaka leo hii inatumika? na kila mtu yuko kimya, fedha ambayo inabidi walipwe na mitambo ilikuwa imezimwa ni nyingi kuliko tungeinunua.
Mimi sina hakika kuhusu ulewa wakowa mambo yanayohusu mitambo. Gharama tulizoingia na life time ya hiyo mitambo sidhani kama tumekula tutakuwa tumeliwa! Time will tell.
 
Totally out of whack.

Bottom line here is that a cult of personality cannot trump an examination of principles and policies.

If you concede on this, you will rearrange your propaganda towards espousing Zitto as an agent of these principles and policies, a torch bearer if you wish.

Not the "deus ex machina" caricature prone to be the butt of pantomime ridicules. In an attempt to elevate Zitto you are actually unfairly caricaturing him as some observers alluded to above.

Reminder:

You love game of circles!
 
Mimi sina hakika kuhusu ulewa wakowa mambo yanayohusu mitambo. Gharama tulizoingia na life time ya hiyo mitambo sidhani kama tumekula tutakuwa tumeliwa! Time will tell.

Tumeliwa, tungekula pale Zitto alipotushauri tuinunuwe tukampinga.
 
You love to oversimplify matters of import into simple games, and violate some very pertinent first principles.

Zitto announcing his intention to run for Presidency is a violation of "first principle"? oops "first principles"
 
Zitto announcing his intention to run for Presidency is a violation of "first principle"? oops "first principles"

You go on to climb further in the rungs of delirium by exhibiting a high degree of jumping to conclusions and an unimaginably salient clairvoyance.

Whatever made you think I was referring to that sorry exercise in lack of craft on the part of your idol?

The more you write the more you expose your whimsical opiate thinking and how it is based on nothing else than fabulous fabrications that are devoid of the simplest traits of observation.
 
Talking about contradiction and circular diction? what a pity! as if this is not yours:

Wonder!

I believe I am dealt the unfortunate and futile task akin to transmitting intelligible electromagnetic signals to a newly found species of non-ruminant Andean llamas, llamus ignoramus.
 
zomba mkuu wangu mbona unajikanyaga. Wewe na CCM yenu ndio mliweka umri wa mgombea kuwa miaka 40, leo unadai Zitto for President 2015 wakati unajua fika wazee wenu hawataki kuachia madaraka wengine hata vision hawana tena..lakini mgonvi wako ni Chadema ati wakimkwaza watakiona. Wamkwaze vipi wakati mmesha mkwaza tayari.. hiyo katiba lini? wakati unaona watu wanadai hawaitambui sheria ya katiba wanataka muungano ujadiliwe kwanza na wananchi na wapige mura za maoni.. Mbona huzungumzii kanuni iliyopo sasa na kuwaambia CCM maneno hayo hayo kama wakimkwaza watakiona cha moto kama kweli wewe kipenzi cha Zitto.

Kifupi mnatumia nguvu nyingi sana kuichafua Chadema lakini hamuyaoni yenu maana wapo wanaomtaka Lowassa na wengine wanamtaka Sitta, Membe na hata Rostam, sii bora ungetazama kwanza kwako. The grass are always greener on the other side - lakini tukikupa mzigo wetu, utarudi utaomba bora CCM ubakie na CCM yako maana tunakuja kata mizizi yote inayowapa mishen town.
 
Last edited by a moderator:
Hakunaga kujaribu tunasubiri abip (japo cdhani kama yuko hivyo) tumpigie
 
Zomba mkuu wangu mbona unajikanyaga. Wewe na CCM yenu ndio mliweka umri wa mgombea kuwa miaka 40, leo unadai Zitto for President 2015 na kusema Chadema wakimkwaza watakiona. Mbona huzungumzii kanuni hiyo na kuwaambia CCM maneno hayo hayo hapo tunatkuona kweli kipenzi cha Zitto.

Kifupi mnatumia nguvu nyingi sana kuichafua Chadema lakini hamuyaoni yenu maana wapo wanaomtaka Lowassa na wengine wanamtaka Sitta, Membe na hata Rostam, sii bora ungetazama kwanza kwako. The grass are always greener on the other side - lakini tukikupa mzigo wetu, utarudi utaomba bora CCM ubakie na CCM yako maana Zitto atakata mizizi yote inayowapa mishen town.

Sheria na kanuni za kibinaadam hutungwa na hubadilishwa kwa nyakati zake, zamani darasa la kwanza watu wanaanza tayari washa balehe, imeshuka mpaka sasa hata miaka 5 wanaanza std 1.

Zamani ilikuwa inaaminika kila unavyokuwa ndio unakuwa na uwezo zaidi, siku hizi watafiti na wasomi wanaamini kuwa "productivity tends to fall with age" soma hapa: Age and productivity: Over 30 and over the hill | The Economist

Nadhani ni wakati muafaka wakati tunaelekea kwenye kutunga katiba mpya umri wa kugombea Urais nao upunguzwe ili tuwe na highly productive president. Wewe unaonaje.

Sina nia ya kuwachafua chadema, kwani Zitto ni yeye mwenye aliyetangaza nia ya kugombea Urais na mimi namkubali na ikiwa chama chake kitamptisha na niko hai basi nnamuahidi kura yangu.

Lakini chadema "msimjaribu, mtaumia".

Mimi naamini uwepo wa upinzani wowote wenye nguvu (chadema kwa sasa) ndiyo chachu ya maendeleo na usimamizi mzuri wa mali za Watanzania.
 
Back
Top Bottom