Msimjaribu Zitto, mtaumia!

Lowassa kiboko yao wanamsema pembeni akiingia wanafyata mikia Kama mbwa koko kuanzia huyo nape anayemlipa zombi
 
Wewe ni zitto nini!!! Nadhani unajihami mapema baada ya kugundua kuwa jitihada zako za kuutafuta urais zinaweza kugonga mwamba mbele ya wapiganaji wengine ndani ya cdm. Kama wewe ndiwe kabwe basi usijidanganye na ndoto zako za kuwa RAIS wa nchi labda kama ni kuwa RAHISI. Inawezekana huto tusafari twako twa kukutana na viongozi maarufu duniani ni mbinu mojawapo utakayoitumia wakati wa kuchukua fomu lakini mbele ya cdm hilo si lolote si chochote. Utaangukia pua tu.
 
Lowassa kiboko yao wanamsema pembeni akiingia wanafyata mikia Kama mbwa koko kuanzia huyo nape anayemlipa zombi

Naona umeishiwa na hoja. Punguza munkar, kapate kikombe cha kahawa, labda hoja zitakujia.
 
Anagombea na lowassa kiboko yenu Mzee wa mamvi toka kaskazini chezea yeye

Lowassa akigombea na Zitto kura yangu ni kwa Zitto, akigombea na mwingine yeyote kura yangu ni kwa Lowassa.
 
Lowassa akigombea na Zitto kura yangu ni kwa Zitto, akigombea na mwingine yeyote kura yangu ni kwa Lowassa.
Lowassa ni mwamba wa kaskazini hamuwezi nyinyi mlikuwa mnafikiri ni wa bagamoyo sio atawalipua
 
Zombi=zomba umeingia mitini lowassa Mzee wa makanisa Hana mpinzani ndani ya ccm lazima wote mfyate Mkia mpaka Rais wenu
 
Zombi=zomba upo wapi? Naona huko ccm mnamtamani sana zito kiongozi wetu shupavu CDM. Viongozi wenu ni lowassa mwamba kaskazini jaribuni kumgusa muone moto Pambaf
 
Aliposhindwa Mbowe uchaguzi mkuu wa 2005, 2010 akawekwa Slaa, tunataka Zitto agombee 2015 tumpe kura zetu, kumbuka, hatuwapi kura CHADEMA tutampa Zitto Kabwe, bila yeye sahauni kura za wengi.

zomba mshauri Zitto achukue fomu kama anataka kugombea na sababu zote ulizozitoa siyo sifaya kuwa mgombea Uraisi kwa sababu wengi wanazo........................we are looking for someone uniquely wise and free of official graft and Zitto's habds are full of filthy gunk.............................sijui nikumbushie barrick alikata ngapi pale..............sijui Tanesco kwenye Dowans alikatiwa ngapi...............the list is endless.................hakuna atakayempa bwana mdogo ugali na ikifikia huko bora wanamagamba waendelee tu kutesa........theyr are the devils we know............at least...........
 
Last edited by a moderator:

Wewe zomba wewe unataka kumwaga damu! Urais ndani ya CDM kwa sasa ni taboo kuusema. CDM wana kauli yao kuwa hata ukiweka jiwe dhidi ya CCM basi CDM itashinda! Hivyo kila mtu anadhani akiwekwa na CDM kwenye kugombea urais atashinda. Kila mtu anautolea macho urais huko CDM.
 
Last edited by a moderator:

Well well said mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…