Sijui kwanini naona umepoteza legitimacy kwa taifa lako, sijui wenzangu wanaonaje maana we perceive things differently, lakini nafikiri kwa mtu kama mimi ukiniuliza, huwezi kuwa huna ulterior motives behind whatever you do or say!Mbona mnahangaika sana? Lissu alimiminiwa lundo la risasi, mmefanya nini kudai hiyo haki yake? Diwani Luena amechinjwa, mmedai wapi haki yake? Katibu CDM Kata ya Hananasifu ameuawa, mmedai wapi haki yake? Kamanda Mawazo je? Ben Saanane yu wapi? Akina Halima Mdee si hao wapo bungeni hadi leo?
Mnatunisha msuli as if Jaji Tiganga akiamua kumfunga Mbowe hapatakalika. Novemba 4 mwaka jana Lissu aliwasihi muingie mtaani kudai "ushindi ulioporwa." Nani alitokea?
Ni rahisi kujimwambafai mtandaoni kwa kutumia fake IDs ilhali Mbowe anateseka muda huu. Hiyo mikutano yenu ya spesi inajaa maelfu ya watu, mahakamani mnatokea wangapi?
Your wishes would be fulfilled, haki mnayotaka itendeke itatendeka, halafu mtarudi hapa kulalia "Mama Samia ni Dikteta. "
Mtu mwenye busara hutambua wakati gani wa kutunisha msuli, na wakati gani wa kujifanya mjinga siku ipite.
Whatever you will say siyo rahisi kuiamini dhamira yako....
May God keep and protect my country and its people!