Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

Habari Jf!

Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.

Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.

Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli Idd Amini Dada kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine ili kuleta watu wenye mawazo mapya ndani ya chama hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.

Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.

Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi?

Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa ila kimejificha kwny kivuli cha siasa.

Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi?
 
Mada ya kijinga na upotevu wa muda tuu. Kama watu walio Chadema wakipigania haki, usawa na Uhuru wa mawazo kila siku na wakaona ndani ya Chadema kuna mambo hayafai kwa nini wasiende ACT, CUF au NCCR kuendeleza wanachopigania lakini waende CCM ambako yale wanayokataa ndio yanatendeka?
Ni upumbavu mtupu kama MTU anashindwa kuliona hilo na kujifanya eti "tujiulize"!
IMG_20200222_075141.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Jf!
Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.

Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.

Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.

Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.

Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi???

Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa bila imejificha kwny kivuli cha siasa.
Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi???
Mbona wewe ni mhuni kwa hiyo uko Chadema?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bahati nzuri ni kuwa hii hadithi yako tumeshaizoea kwa wenzako waliokutangulia. Jaribu kutunga hadithi mpya ili ujitofautishe na wenzako.
 
Mleta mada una chuki na Mbowe vipi alikukopa mzigo nini?
Acha hivyo wanaume hatuna mambo ya kufuatiliana kiasi hicho.!
 
Habari Jf!
Kuna jambo binafsi naamini wanachadema wanapaswa kulitathimini sababu haiwezekani kila anaye hama chama kwenda CCM muwe mnasema wamenunuliwa.

Ebu Mbowe na wenzake wajitathmini maana tunapoelekea uchaguzi mkuu naamini chama cha Chadema kabla hata ya uchaguzi mkuu kitakuwa sio chama cha siasa tena bali ni Saccos ya vikoba.

Binafsi naona Mbowe amekuwa dikteta zaidi ya Nduli Idd Amini Dada kwa kutaka kiti chake kisikaliwe na mtu mwingine ili kuleta watu wenye mawazo mapya ndani ya chama hilo nalo ni kosa ,alitakiwa kukubali kubadilishana kijiti.

Sasa hivi Chadema naona kumejaa kundi la wahuni wa mtaani watu wenye waeledi wote naona wamejaa upande ule wa pili yaani CCM.

Napata mashaka sana nikikuta mtu msomi bado anang'ang'ana na Chadema hapo ndipo wakati najiuliza usomi wa mtu huyo upo wapi???

Ila kuna mtu alishawai sema kwamba Chadema ni chama cha mtu binafsi ,kwa hiyo inaendeshwa kama Vicoba Saccos pale watu wanapata msosi wao wa kila siku ila sio chama cha siasa ila kimejificha kwny kivuli cha siasa.
Je ili swala wanachadema wanalizungumzia vipi???
Kwa akili zako na ushabiki wako utaona ni sawa ccm kununua na kuvuruga wapinzani,naskia toka ameanza nunuanunua umaskini umepungua na uchumi umepanda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rubbish

Pumbav!
 
KLMYK-O

Umefanya kazi siku ishirini na tank bado siku tano ulipwe ujira wako unaacha kazi ili ukakae nyumbani! Haiingii akilini.
 
Chadema ni kibubu cha mbowe cyo saccos saccos huwa inachagua viongozi na hesabu kupigwa na wanachama wanakopeshana! Lakini chadema mlaji ni mmoja! Na mgombea ni mmoja wengine ni nyumbu2
Ukiwa serious kugombea uaambiwa unataka kuonja sum.
 
Back
Top Bottom