Msikiti wa posta na ubaguzi??

waislamu kwa waislamu wanabaguana halafu wanasema eti dini ya haki
 
Ahli sunna waljamaa wamegawanyika pia wapo masarafi wao hata tv ni haramu kwao picha pia ni haramu hijabu zenye maurembo yenye kung'aa haramu. Swala ya asubuhi haina dua baada ya kutoka kwenye rukuu ya pili.

Niutofauti wamambo mengi ambayo wewe mleta mada ukiingia msikiti wa salafi utajiona umebaguliwa
 
Kuna misikiti ya Sunni, Ibadhi, Shia ....,, ya Bohora, Ismailia, Ithnaasheri, Kokny..... Ni upi hasa uliotaka kwenda?

Au ulitaka ukasali tu hata kama siyo madhehebu yako?
Ndugu hebu nisaidie unaujuaje huu msikiti wa dhehebu fulani? Je kuna tofauti katika kutia udhu hadi kwenye kuswali?
 
Utakuwa sio dhehebu lao,full stop.
 
Kuna misikiti ya Sunni, Ibadhi, Shia ....,, ya Bohora, Ismailia, Ithnaasheri, Kokny..... Ni upi hasa uliotaka kwenda?

Au ulitaka ukasali tu hata kama siyo madhehebu yako?
Kumbe nanyi waislam kuna.madhehebu??
 
kwanini nisisali mkuu siye ibada ni ibada tu ila siyo nyie mwavua viatu wakati bado ni wachafu
Wee hujajibu swali langu,unarukia mambo ya kuvua viatu,nimekuuliza na labda na hapa nikuuliza kwenye lugha unayotaka kuisikia au kuielewa ,je wewe ukiwa mkatoliki unaweza kwenda kufanya ibada kwa wasabato?
 
Mahali alipokosea ni kuongelea ubaguzi wa kuvua viatu, wakati mtoa mada ameongelea ubaguzi wa "RANGI"

ILA yote kwa yote,

Misikiti na Makanisa asili yake ni "UBAGUZI"

Wewe mtu Mweusi hutakaa uache kubaguliwa na Wazungu, Waarabu, Wahindi au Wachina na wajapan.

Kuna Misikiti yenye ubaguzi hata Arusha.
 
Kama nilivyoeleza kuwa kwa sababu wewe ulizoea kuingia kanisani na viatu basi unataka na nyumba zengine ziwe na utaratibu huohuo,na ndiyo maana kwako wewe japo msikitini watu wote huvua viatu ila wewe unaita ubaguzi et kwa wenye kutaka kuvaa viatu.
Watanzania bana...

Mada inaelezea ubaguzi wa watu weusu katika Msikiti flani ila wewe unazungumzia habari ya kanisani.

Hiyo Misikiti IPO.
 
Kumbe kwingineko mungu wao karuhusu matabaka!
 
Waendee maofisi ya wahindi huku mikocheni nanwengine nimewakuta Kampala unavua ndiounaingia ndani
 
Wasunni wanaweza kusali msikiti wa Mashia?

Je waismailia wanaweza kuswali kwa wasunni?
 
Watanzania bana...

Mada inaelezea ubaguzi wa watu weusu katika Msikiti flani ila wewe unazungumzia habari ya kanisani.

Hiyo Misikiti IPO.
Ukiwa na govi poa uruhusiwi kuingia msikitini wenye mkono wa sweta wanabaguliwa pia !
 
Hivi wewe uliielewa post yangu? Au umejibu tu, nimesema msikiti wa Manyema kariakoo, sio umanyemani Kigoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…