Citizen B
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 6,804
- 9,410
Kama unashinda kuelewa maana ya "KUNUKUU"hauwezi kuielewa quran.
Umesema "Kama unashinda kuelewa maana ya "KUNUKUU"hauwezi kuielewa quran." Hapo nimekunukuu
Kama unashinda kuelewa maana ya "KUNUKUU"hauwezi kuielewa quran.
Umesema "Kama unashinda kuelewa maana ya "KUNUKUU"hauwezi kuielewa quran." Hapo nimekunukuu
SijuiLabda nikuulize kwani biblia Ni maneno ya nani?
Kumbe wayahudi walikuwa wanasali kwenye masinagogi ,Wakati wa Yesu kulikuwa hakuna uislam wala muislam. Yesu alifuata wayahudi walichokuwa wakifanya
Translation ya MASJID ISSA BIN MARYAM, hamna cha ajabu hapo.
Issa mnamfahamu ninyi wafuasi wa MwamediiKwa sababu Jesus na issa Ni mtu mmoja.
Ni sawa mungu kumuita God,yehova au ALLAH.
Issa mnamfahamu ninyi wafuasi wa Mwamedii
Korani inasema Mtume Muhamad alikuwa wa kwanza kusilimKumbe wayahudi walikuwa wanasali kwenye masinagogi ,
Na kunawa uso ,,
mikono na miguu,,
Kabla ya kusali.
Pamoja na kuvua viatu ,,kusujudu na kupiga magoti wakati wa kusali ..
Utasemaje uislam haukuwepo?
Kwani wafanyavyo kama alivyofanya yesu na wayahudi ni akina nani?
Uislam ulikuwapo tangu Adam ,,. Ndy maana watu wanabatizwa kuingia ktk dini zinazomilikiwa na watu hapa duniani ,,ili kuwatoa kwenye dini ya asili ya baba yetu Adam na mama yetu hawa.
Issa mnamfahamu ninyi wafuasi wa Mwamedii
Biblia ni mchanganyiko.wa vitabu vya manabii na mitume.ukiangalia.torati.mambo ya walawi.kaandika.mussa.zaburi.kaandika....daudi. mithali wimbo ulio bora.kaandika Suleiman...Labda nikuulize kwani biblia Ni maneno ya nani?
Hata ukieleweshwa huna uwezo wa kuelewa kwasababu hili limeshaongelewa sana humu jamvini, labda kama huwa huelewi.nyie mnamfahamu yesu mwana wa MUNGU au yesu MUNGU?
Wa kwanza Muslim kwa zama zake,,Korani inasema Mtume Muhamad alikuwa wa kwanza kusilim
KORANI 6:163. Hana mshirika wake. Na hayo ndiyo niliyo amrishwa, na mimi ni wa kwanza wa Waislamu.
He hath no associate. This am I commanded, and I am the first of the Muslims. S. 6:163 Rodwell
Korani 6:14. Sema: Je, nimchukue rafiki mlinzi asiye kuwa Mwenyezi Mungu, ambaye ndiye Muumba mbingu na ardhi, naye ndiye anaye lisha wala halishwi? Sema: Mimi nimeamrishwa niwe wa kwanza wa wenye kusilimu. Na wala kabisa usiwe miongoni wa washirikina.
Say, verily my Lord hath directed me into a right way, a true religion, the sect of Abraham the orthodox; and he was no idolater. Say, verily my prayers, and my worship, and my life, and my death are dedicated unto God, the Lord of all creatures: He hath no companion. This have I been commanded: I am the first Moslem (Wa 'Ana 'Awwalu Al-Muslimin). S. 6:161-163
Ni roho mtakatifu,,,kwa njia ya gebrael.Nijibu swali langu basi.
Inapendeza.Ilianzia katika mvutano wa kisheria kati ya jumuia ya Kiislamu na Kanisa la Waadventista wa Sabato (SDA) kuhusu umiliki wa ardhi.
Mvutano huo uliokuwepo kwa miongo kadhaa, ulimalizika mwezi Oktoba mwaka huu na Mahakama ya Mazingira mjini Kisumu iliamua kuwa ardhi hiyo ni milki ya Jamii ya Kiislamu.
Katika jitihada za kujenga daraja la mahusiano kati ya jamii ya Kiislamu na kanisa, imechagua jina la msikiti ambalo limevuta hisia za wengi katika mitandao ya kijamii.
Msikiti ambao umejengwa kwenye ardhi iliyokuwa kwenye mgogo eneo la Kaloleni katika Kaunti ya Kisumu unaitwa 'Msikiti wa Yesu Kristo mwana wa Maria ( The Mosque of Jesus Christ the son of Mary)
Lakini kwa nini jina hili la kipekee?
Abdul Rashid ni Mwadhini ameliambia gazeti la The Standard la Kenya kuwa '' Tumekuwa na mvutano wa muda mrefu kuhusu ardhi na hii ni moja ya sababu zilizotufanya kuchagua jina hili. Sisi hatuna uadui na Wakristo,'' alisema.
Amesema kuwa Waislamu pia wanaamini Yesu na kuwa alikuwa sambamba na manabii wanne akiwemo Mtume Muhamad (S.A.W).
''Waislamu wanaamini katika Yesu Kristo . Uchaguzi wa jina pia ni shukrani ya Yesu Kristo ambaye tunaamini atarudi tena," Rashid aliliambia gazeti la The Standard.
Hatua hii imegusa hisia za watu nchini Kenya wengine wakihoji je, huu ni Msikiti na Kanisa kwa wakati mmoja? Wengine wameifurahia hatua hiyo
BBC.View attachment 1660159
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Mohammad na sinagogi kipi kilitangulia?. Ni nani alileta misikitiHii ni baada ya editing..lakini sinagogi ni msikiti wa wayahudi..
Maana kila kukicha watu wana edit pale penye mashaka..
Kama yesu alikuwa anasali kwa kupiga magoti na kusujudu,,
Je, ni akina nani wanasujudu?
Jibu hoja.
Kama yesu alikuwa akivua viatu akiingia ktk sinagogi,,
Je, akina nani wanavua viatu wakiingia kusali?
Kama yesu alikuwa haonyeshi alama ya msalaba,,
Nani basi aliyeta msalaba?
Kama yesu alikuwa haswali kwenye madawati na viti,
Je ni nani basi aloyeleta mambo ya kusali kwa kukaa kwenye madawati?
Kama yesu alisema toeni kelele za vinanda vyenu..
Akina nani basi walileta nyimbo kwenye sinagogi?
ni kweli sisi ndio tunamfahamu, unalingine!?Issa mnamfahamu ninyi wafuasi wa Mwamedii
Taratibu mkuu, sio muislamu Mimi niamini..[emoji1666][emoji38]kwani ukisema wewe ni muislam unapungukiwa mifupa?Au unaona aibu kuwa dini moja na Boko haram?
Biblia ni mchanganyiko.wa vitabu vya manabii na mitume.ukiangalia.torati.mambo ya walawi.kaandika.mussa.zaburi.kaandika....daudi. mithali wimbo ulio bora.kaandika Suleiman...
TOFAUTI KUMI (10) KATI YA ISA WA KWENYE QURAN NA YESU WA KWENYE BIBLIA.Utofaiti umeletwa baada ya yesu kufa,,
Lakini kabla ya hapo hakukuwa na tofauti yeyote.
Yesu na issa ni watu wawili tofauti?
Inna Lilah waina ilaih ragiun
Msiba mzito huo mgalatia wewe.
Unazalisha hoja ingine nje ya mada.Km umechemka kubali tuHebu nipe maelezo ya mimba ya yesu ,,kuzaliwa kwake na kumbukumbu za Xmas December 25.
Mkuu umeeleza vizuri sana..
Hebu nambie basi kama Gabriel alimtokea Mirium mwezi wa 6..
Iweje yesu azaliwe baada ya miezi 18..
Dec 25.
Story yako imefanyiwa editing na umekaririshwa vizuri sn.