Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

kwanza kabisa hatujui baada ya kumtokea hiyo mwezi wa sita ilimchukua muda gani kupata mimba,halafu pia ninavyojua mimi tarehe 26/12 imepangwa kukumbuka tukio la kuzaliwa kwa yesu kama tu babaangu mzazi tulivyoamua kutumia tarehe 1/7 kusherehekea sikukuu yake ya kuzaliwa baada ya kukosa kumbukumbu za tarehe halisi na sio dhambi maana pale inasherehekewa tukio sio tarehe
Sasa kuanzia mwezi April mwezi halisi wa kuzaliwa kupeleka hadi December hapo ndy mmeona ndy siku muafaka,,?

Haiingii akilini mkumbuke mwezi aliozaliwa lakini msikumbuke tarehe,,
Basi hata hesabu pia?

Kwann xs mass isiwe April 25?

Iwe dec 25?

Hamuoni kama pengine mnasherehekea kuzaliwa kwa yuda?
Au mnasherehekea kuzaliwa kwa baraba?

Inaweza ikawa pengine mtu yeyote kwa utashi wake aliamua kubadili tarehe kuwadanganya umma kwa faida zake.
 
Mkuu unawezakuona wenzio ni mzigo kumbe mzigo ni wewe..

Hivi Dada wa Mussa alikuwapo zama za yesu?
Kupelekea kumzaa yesu?

Mirium na maruam ni mmoja tofauti ni majina yanavyotamkwa na kuandikwa..
Okay sawa,ila tambua Mariam na Miriam ni watu wawili tofauti kwenye Bible ila mwandishi wa Quran aliwachanganya
...Tatizo kadini kameanzishwa juzi ila kanajifanya kanajua kuliko watangulizi


Yani muhammadean unajua historia za wayahudi kuliko hata Wayahudi?
 
Mimi naamini Quran na Sina Shaka nayo.
Jina la baba yake mariam wewe umelitoa wapi?
Sawa wewe endelea kuamini Kitabu cha juzi kinaongelea vitu vya kale inaccurately
Ndomaana Islam inafail ikiwa tested historically.

Document nyingi za century ya kwanza zinaonesha jina la Baba yake mary lilikuwa Joachim...mf. Apocripha ya James
Sasa Kitabu kimoja miaka 600 baadae tena mwandishi sio wa eneo husika ni cha kupuuzwa
 
ndo Mana nasema jifunzeni kwanza KUSOMA quran..
Hayo yalikuwa maongezi Kati ya Mariam na ndugu zake.wayahudi walipomuona akiwa na mtoto wakati wanajua HAKUWA ameolewa

Hujanijibu swali langu shekhe.
 
Rudi tena kwa aliyekukaririsha uongo.

Nani kakufundisha ilah ni Allah ?



Rudi kwenye hoja ,,,
yesu yule aliyekuwa akiingia kwenye masinagogi ,,kuvua viatu wakati wa kusali na kuosha uso pamoja na mikono na.miguu ,,kupiga magoti na kusujudu wakati wa kusali kama wafanyavyo waislam ni yesu yupi?


Ni yule yesu wa Mirium au issa?

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mimi Ni mkiristo ila kiukweli vitabu vyote vinavyomhusu vinasema alisali na kuishi Kama muislamu.

Na naamini pia katika uislamu.
kwani ukisema wewe ni muislam unapungukiwa mifupa?Au unaona aibu kuwa dini moja na Boko haram?
 
Bado unachanganya.
Soma Tena hizo AYA.
hayo ni mazungumzo baina ya Mariam na ndugu zake.
Jibril ndo alikuwa anamsimulia Mustafa.
kuwa mariam aliporudi na mtoto ndugu zake walimwambia maneno hayo

kwahyo hayo ni maneno ya Jibril,muhammad,Allah au wayahudi?
 
Mimi Ni mkiristo ila kiukweli vitabu vyote vinavyomhusu vinasema alisali na kuishi Kama muislamu.

Na naamini pia katika uislamu.

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Alisali kwa kufuata mila za Kiyahudi na Sio Uislam.
 
hakuna andiko sehemu yoyote iwe msikiti au kanisani linalokataza mtu asisali na viatu
Inna lilah waina ilaih ragiun,,

Msiba mzigo huo mgalatia wewe.

Na yesu alipokuwa anasali kwa kuvua viatu ,,pia uamini?
 
Translation ya MASJID ISSA BIN MARYAM, hamna cha ajabu hapo.
9vWp6aU4y8kwuKWoktG1p1XsXwxCfAsLU3R6G8A5tvR8CHV5K5Gud4k398zknVnWnCybGfGAkAjikVrv3LvKXTt2YWuRXoefsxxVFu6KD496B3ua4xFPzGwTNv5eQvZ6fdEspEAXmjbehd5AE


7ohP4GDMGPrUBH4CmUxgZoq8xtbSBsgjtW2yqCzojdisw5Jix7GqPhptAHnbfvd2Vk4rENaKv43MD75wKqZYjBP89gZAEygxmkYe

LINK:

Isa Ibn Maryam Mosque; Landmark from Syracuse City,New York, Interreligious Harmony Symbol

Former Church Hosts NY Muslims
 
Rudi tena kwa aliyekukaririsha uongo.

Nani kakufundisha ilah ni Allah ?



Rudi kwenye hoja ,,,
yesu yule aliyekuwa akiingia kwenye masinagogi ,,kuvua viatu wakati wa kusali na kuosha uso pamoja na mikono na.miguu ,,kupiga magoti na kusujudu wakati wa kusali kama wafanyavyo waislam ni yesu yupi?


Ni yule yesu wa Mirium au issa?
Wakati wa Yesu kulikuwa hakuna uislam wala muislam. Yesu alifuata wayahudi walichokuwa wakifanya
 
Ya wayahudi na Mariam
Mungu aliyanukuu walipokuwa wanaongea miaka mingi nyuma iliyopita
Ahaa kumbe Quran kuna maneno ya Wayahudi..Kwahyo kumbe Wayahudi wameshiriki uandishi wa Quran...Interestingyy

Lakini pia wayahudi sio mafala kusema hivyo kwahyo aliyewaquote huo uzandiki ndo fala...Hii ishu hata wayahudi wa kipindi cha mtume walimcriticize
 
Kanzu na kofia ni mavazi ya kitamaduni, hata wahaya na waganda wakristu wanayavaa sana tu, na mengine yanauzwa kwa mafungu yametandikiwa chini pale Kariakoo zamani maarufu kama roud-about ya Msimbazi na Uhuru Roads
Kauli za kujifariji
 
Kama unashinda kuelewa maana ya "KUNUKUU"hauwezi kuielewa quran.
Ahaa kumbe Quran kuna maneno ya Wayahudi..Kwahyo kumbe Wayahudi wameshiriki uandishi wa Quran...Interestingyy

Lakini pia wayahudi sio mafala kusema hivyo kwahyo aliyewaquote huo uzandiki ndo fala...Hii ishu hata wayahudi wa kipindi cha mtume walimcriticize
 
Back
Top Bottom