Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Msikiti uliopewa Jina la Yesu

Hii ni baada ya editing..lakini sinagogi ni msikiti wa wayahudi..

Maana kila kukicha watu wana edit pale penye mashaka..

Kama yesu alikuwa anasali kwa kupiga magoti na kusujudu,,

Je ni akina nani wanasujudu?

Jibu hoja.

Kama yesu alikuwa akivua viatu akiingia ktk sinagogi,,

Je akina nani wanavua viatu wakiingia kusali?

Kama yesu alikuwa haonyeshi alama ya msalaba,,

Nani basi aliyeta msalaba?

Kama yesu alikuwa haswali kwenye madawati na viti,
Je ni nani basi aloyeleta mambo ya kusali kwa kukaa kwenye madawati?

Kama yesu alisema toeni kelele za vinanda vyenu..

Akina nani basi walileta nyimbo kwenye sinagogi?
Mhhh....je unajua tamaduni za kuabudu zinazotumiwa na wayahudi???
 
مسجد عيسى بن مريم =Masjid Issa Bin Maryam

The Mosque of jesus Christ Son of Merry

Msifikiri hilo jina la Jesus ndio yule yesu aliesulubiwa, mkae mjue hilo. Aliekusudiwa hapo ni Issa/Yesu OG. Na si yesu fake.
Leo na nyie mmekua wa kuwafundisha wa Kristo Yesu fake na Yesu halisi?

Ninyi mliecopy maandiko ya Bible na kujitungia hekaya zenu?

Kati ya Bible na Quran kipi kitabu chenye maisha marefu ulimwenguni?

Quran inawatambua wa Kristo ila Bible inatambua wa Islam?
 
Hii ni baada ya editing..lakini sinagogi ni msikiti wa wayahudi..

Maana kila kukicha watu wana edit pale penye mashaka..

Kama yesu alikuwa anasali kwa kupiga magoti na kusujudu,,

Je ni akina nani wanasujudu?

Jibu hoja.

Kama yesu alikuwa akivua viatu akiingia ktk sinagogi,,

Je akina nani wanavua viatu wakiingia kusali?

Kama yesu alikuwa haonyeshi alama ya msalaba,,

Nani basi aliyeta msalaba?

Kama yesu alikuwa haswali kwenye madawati na viti,
Je ni nani basi aloyeleta mambo ya kusali kwa kukaa kwenye madawati?

Kama yesu alisema toeni kelele za vinanda vyenu..

Akina nani basi walileta nyimbo kwenye sinagogi?
Aliekuambiwa hawakuwa wakiimba na kucheza mbele za. Mungu ni nani?

1 Mambo ya Nyakati 13:8
[8]Wakacheza Daudi na Israeli wote, mbele za Mungu, kwa nguvu zao zote; na kwa nyimbo na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa matoazi, na kwa tarumbeta.
 
Na aliyesema nachukizwa na kelele za vinanda vyenu ni nani?
Kama sio maneno ya yesu?

Haya ni madhara makubwa ya kufanya editing maandiko.
 
Hiyo ni tamaduni ya wayahudi haina uhusiano na dini.Angezaliwa Arusha angekuwa anavaa Rubega.Hakuna uhusiano kati ya mavazi na imani ya mtu
-kusali kwenye masinagogi ni tamaduni?

--Kuvua viatu na kusali pia ni tamaduni?

--Kusujudu pia ni tamaduni?

Inamaanisha alichofanya yesu yote kwako ni tamaduni..

Lakini Yale ambayo yalifanywa na akina petro baada ya yesu kufa ndy umeyafanya ndy dini?

Mfano msalaba ambao haukuwepo wakati wa uhai wa yesu ndy umeubeba kuwa ndy dini sio?

Mengine aliyofanya na kukataza yesu ni tamaduni,, na mmepuuza.

Ndy maana kuna tofauti kubwa kati ya wakristo na wana wa Israel.
 
Hii ni baada ya editing..lakini sinagogi ni msikiti wa wayahudi..

Maana kila kukicha watu wana edit pale penye mashaka..

Kama yesu alikuwa anasali kwa kupiga magoti na kusujudu,,

Je ni akina nani wanasujudu?

Jibu hoja.

Kama yesu alikuwa akivua viatu akiingia ktk sinagogi,,

Je akina nani wanavua viatu wakiingia kusali?

Kama yesu alikuwa haonyeshi alama ya msalaba,,

Nani basi aliyeta msalaba?

Kama yesu alikuwa haswali kwenye madawati na viti,
Je ni nani basi aloyeleta mambo ya kusali kwa kukaa kwenye madawati?

Kama yesu alisema toeni kelele za vinanda vyenu..

Akina nani basi walileta nyimbo kwenye sinagogi?
Naomba nikusaidie ndugu, inaonekana Kuna upunguf kdgo kumjua KRISTO.kwanza hakuna popote yesu kasema toeni kelele za vinanda.dini ya kiyahud ni kongww kuliko ukristo na uislam.dini hz mbili zilivyokuja zilijaribu ku-odopt baadh ya vitu toka kwa wayahudi.sinagog asili yake ni uyahudi, tafsir yake ni msikit(lkn wa din ya kiyahud)sio islam.hvyo hvyo walikua na hekalu(ambao wakristo pia waliadopt that's why kanisa mahala pengine kinaitwa hekalu)ni km vile kiswahili kilipokua kinatungwa Kuna MANENO yalitoholewa kutoka kwenye lugha nyingine.nadhani umenielewa.kuhusu kumfuata yesu jibu liko wazi sana.ili uwe mfuasi kamili wa yesu,shart ubatizwe.je mnafanya hivyo!??alamsik
 
Aliekuambiwa hawakuwa wakiimba na kucheza mbele za. Mungu ni nani?

1 Mambo ya Nyakati 13:8
[8]Wakacheza Daudi na Israeli wote, mbele za Mungu, kwa nguvu zao zote; na kwa nyimbo na kwa vinubi, na kwa vinanda, na kwa matari, na kwa matoazi, na kwa tarumbeta.
Unachanganya mafile.ni kweli kuimba ni sehemu ya ibada za kikristo.ss nmekuuliza wp yesu kasema toeni kelele za vinanda!?
 
Soma hii
20200428_123925-1.jpeg
20200428_124001-2.jpeg
20200428_124001-1.jpeg
20200428_123955-1.jpeg
20200428_123948-1.jpeg
20200428_123932-1.jpeg
20200428_123909-1.jpeg
20200428_123856_HDR-1.jpeg
 
Isa. Sio yesu.
Unataka kusema Mary sio Mariam?
Maryam mama wa Issa wa kwenye Quran ni dada yake na Imran au Aaron au dada yake mussa.

kwenye Bible hawa ni watu wawili walioishi tofauti ya miaka 2000. mmoja anaitwa miriam mwingine mariam
 
Kwa sababu Jesus na issa Ni mtu mmoja.
Ni sawa mungu kumuita God,yehova au ALLAH.
Yesu na Issa ni watu wawili tofauti. Kwanini?
1.Yesu Kristo alibatizwa wakati Issa hakubatizwa na hatambui ubatizo.
2.Yesu kristo ni mwana wa Mungu, wakati Issa si mwana wa Mungu na hata Waislamu wanapinga hilo kwa nguvu zote.
3.Yesu kristo aliteswa,kufa msalabani na kufufuka, wakati Issa alinyakuliwa mbinguni.
4.Yesu Kristo ana sifa ya Uungu(Mungu) wakati Issa hana.
5.Yesu kristo hakuoa wakati Baadhi ya Waislamu wanaamini nabii Issa alioa.
6. Yesu atarudi siku ya mwisho kuja kuhukumu wanadamu, wakati Issa atarudi kuja kuwaua wapinga kristo na kisha atakufa.

Hizi ni baadhi ya tofauti kati ya Yesu Kristo na nabii Issa. Hivyo wanaosema Yesu Kristo ni nabii Issa huenda hawajui maandiko au wanalazimisha kubalansi mzani. Lakini ukweli utabaki palepale,Yesu Kristo wa kwenye biblia si Nabii Issa wa kwenye Quran. Anayebisha aendelee kubisha.
 
Back
Top Bottom