The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 8,217
- 16,089
Ila mtu akibwakwa wewe unataka kujua kabakiwa wapi😂😂Halafu ukijua?
We endelea tuu
Ila mtu akibwakwa wewe unataka kujua kabakiwa wapi😂😂Halafu ukijua?
Wao ndiyo huja kunitafuta nami nawauliza wapi huko.Ila mtu akibwakwa wewe unataka kujua kabakiwa wapi😂😂
We endelea tuu
Sasa na mimi si mwananchi wako,nijua uliko kuna shida?Wao ndiyo huja kunitafuta nami nawauliza wapi huko.
Najua wapi niwasilishe shida, na wewe fahamu tafadhali wape na watu wako huko ulikoSasa na mimi si mwananchi wako,nijua uliko kuna shida?
Acha madharau basi
Uzuri kumbe nitakuwa namjibu Mungu aliyeniwezesha mafanikio kama hivi kwenye bango hapa chini. Halafu nitamwambia, nilikuwa naimba kukusifu kwa kuniwezesha na kesi itaishia hapo.Mheshimiwa!!
Mwenyezi Mungu kawaamini muisidie hii Nchi,,,
Kemeeni vitu vya hovyo jamani,,,
Kuna wakati utafika mtatakiwa Kutoa hesabu kwa Mungu,,
Utaulizwa ulipokuwa Waziri ulinisaidiaje watu wangu?!!
Ulisimama kwenye zamu Yako?!!
Sidhani kama zamu Yako ni mapambio unayoimba wakati jamii inateketea !!
Acha siasa kwenye mambo yasiyohitaji siasa.Naona Madam kaita kikosi kazi,
Hay,Nijibubu wewe ndugu,wanaotekwa ni jamii ipi na wanao bakwa ni jamii ipi,Alafu Madam ni waziri wa ustawi wa jamii ipi?😂😂
Ukiandika upuuzi nitaingilia. Huwezi kumkosea adabu waziri tukakuchekea. Wewe ukiulizwa umelifanyia nini taifa una cha kujibu?Kama hujamwita mwambie asiingilie hii maada,
Alafu nikuulize wapi nimekutukana au nimekuvunjia heshima?
Wewe ukikaa kimya utapungukiwa nini? Fake ID isikufanye uvuke mipaka.Sasa kama swali hili linakushinda itakuwaje Madam,Bora usingejibu,
Umenipeleka CBE nikakuambia nimemaliza ukakimbia,Basi saiv unanipeleka Tengeru😂😂
Uko Sawa wewe kweli?
Hebu onyesha nilipomkosea heshima waziri huyu?Ukiandika upuuzi nitaingilia. Huwezi kumkosea adabu waziri tukakuchekea. Wewe ukiulizwa umelifanyia nini taifa una cha kujibu?
Unaanza matusi na sitakubalisha,donr cross the red line .Wewe mpuuzi ukikaa kimya utapungukiwa nini? Fake ID isikufanye uvuke mipaka.
Hiki ni kipengele kidogo sana kwenye Wizara kubwa kama Yako..Uzuri kumbe nitakuwa namjibu Mungu aliyeniwezesha mafanikio kama hivi kwenye bango hapa chini. Halafu nitamwambia, nilikuwa naimba kukusifu kwa kuniwezesha na kesi itaishia hapo.
Kisha, atakuuliza wewe upi ulikuwa mchango wako kwenye mafanikio haya, nina hakika utabaki huna majibu. Kesi itabaki kwako, Hapo vipi sasa
Kaa kimya. Acha kumjibu waziri ujinga ujingaUnaanza matusi na sitakubalisha,donr cross the red line .
Ukiandika upuuzi nitaingilia. Huwezi kumkosea adabu waziri tukakuchekea. Wewe ukiulizwa umelifanyia nini taifa una cha kujibu?
Nakuonya mara ya mwisho ,endeleaKaa kimya. Acha kumjibu waziri ujinga ujinga
Kamuonye bibi yako
Hiyo ni ufupi. Vipengele kwa upana zaidi ingia www.jamii.go.tz kasikilize hotuba zetu za utekelezaji.Hiki ni kipengele kidogo sana kwenye Wizara kubwa kama Yako..
Ya Mimi kwa uelewa wangu mdogo ndio msingi wa Taifa lolote imara kwa sababu kwenye jamii Bora ndio Kuna Taifa bora.
Maandiko yanasema kusifu kunawapasa wanyoofu wa moyo Zaburi 33:1
Wewe hujanyooka Mama,,.kwa sababu Kuna vitu hukemei ,,jamii inazama.
Mwenye haki huwa imara nyakati zote, soma maandiko ya tangu kuumbwa dunia tafadhali.View attachment 3407475
👆👆Nimeshangaa sana, una Bibilia kubwa sana,,Ina Kila kitu lakini huoni,, Mheshimiwa mwenye Dhamana ya jamii....
Mi nakwambia kuleni hayo mafao ila Siku zinakuja ambazo mtatamani kutapika kwa sababu mlichagua kujinufaisha bila kusimama kwenye zamu zenu.
Shwaa, kipimo kile kile mtu apimiacho swaliDada dorothy...leo umeamua kujibu na kupita shwaaa{msukuma's voice}