Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Msikilizeni Waziri mwenye Dhamana

Hakuna kiongozi wa mtume aliyemaliza kila changamoto duniani. Mtume Yesu naye aliishi miaka yake akaondoka bado kijana hakumaliza changamoto na bado kuna waliomkataa alipokuwa akifanya kazi yake, ajabu hao hao wakamkubali baada ya kumaliza kazi na kuondoka.

Aidha, hata wizara kongwe na kubwa za miaka mingi bado hazijawahi kumaliza changamoto na zinaibuka mpya kila leo, itakuwa wizara ya maendeleo ya jamii yenye umri wa miaka 3 na miezi 6.

Tulichofanya tumefanya, ya kuanzisha tumeanzisha, yaliyobakia yataendelezwa kwa kuwa, kazi ya ujenzi wa Taifa haijaisha. Na katika mafanikio hayo yaliyopatikana mfano hapa kwenye bango chini👇, hatuna budi kumshukuru Mungu na kwa shukrani hizo kwa imani yangu mimi, naimba🤗🥰 na wewe ikikupendeza shukuru kwa imani yako na isipokupendeza basi, potezea.

Hii ni kwa kifupi tafadhali....

Dkt. Gwajima D mama shkamoo,
binafsi acha niseme NAKUPENDA... nabarikiwa sana na kuish kwako.
 
Ukienda pale chuo cha maendeleo ya jamii tengeru, utapata tafsiri ya jamii na aina zake mbalimbali tafadhali. Fika tafadhali, kiko pale Arusha mjini kabisa
Sasa kama swali hili linakushinda itakuwaje Madam,Bora usingejibu,

Umenipeleka CBE nikakuambia nimemaliza ukakimbia,Basi saiv unanipeleka Tengeru😂😂

Uko Sawa wewe kweli?
 
Sasa kama swali hili linakushinda itakuwaje Madam,Bora usingejibu,

Umenipeleka CBE nikakuambia nimemaliza ukakimbia,Basi saiv unanipeleka Tengeru😂😂

Uko Sawa wewe kweli?
Tena unaweza kupitia na ruaha iringa kama tengeru itakuwa hawajakusaidia. Pia rungemba wanaweza kuwa wa msaada zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom