nanya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 672
- 523
ah ah ah ah ah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
kijana umenifurahisha na haka kasentensi. ila ukweli ni kwamba wanawake wametofautiana kama ifuatavyo:
.kuna wengine wanapenda pesa wengine hawapendi pesa
.wengine wafupi wengine warefu
.wengine vibonge wengine wembamba
.wengine mcharuko wengine sio mcharuko
.wengine watamudu mziki wengine hawatamudu mziki
.wengine papuchi fupi wengine papuchi ndefu
.wengine wakishua wengine wa kawaida
.wengine weupe wengine weusi
.wengine wanajikubali wengine hawajikubali
.wengine wamesoma wengine hawajasoma
.wengine wana kazi wengine hawana kazi
.wengine masistaduu wengine wife material
.wengine wazuri wengine mabolibo
nataka kusema nini? nataka kusema kwamba duniani hakuna watu wa kufanana, dunia nzima wote tungekua tunaakili sawa na tabia zinazofanana dunia isingekua tamu, ingeboa. tunakosea sana kusema kila mwanamke yupo hivi au kila mwanamke yupo vile. haiwezekani wanawake wote wakafanana.
wewe umebahatika kupata lem'bebe ambae hana haja ya mkwanja basi shukuru, na yule ambae ana lem'bebe anaependa mkwanja ampe tu si anampenda, kama hawezi asepe atafute kama wako ambae hana haja ya mkwanja. kwenye ulabu utakutana na wanawake watakaokuomba ofa ya bia, wengine watakupa wewe ofa ya bia. maisha ndivyo yalivyo haiwezekani watu wote wafanane na wawe na same interests mzee, na usilazimishe.