Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.
Hizo hela alizokataa naziomba mm [emoji14]
 
Date Na Lara1 Umpe 80k Aikatae Udhanie Ndo Free P.
Siku Akuamkie Na Mkopo Wa Milioni 60 Anataka Aanze Biashara Mpya. [HASHTAG]#KubwaLaMaaduiTunatakaStoryMpya[/HASHTAG]...
 
Kutegwa kamtego kadogo tu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]hadi jf kurukaruka, ujui alidharau hako ka 80 anasubiri uongezee.
 
Ukiwa muongo uwe na kumbukumbu"

Juzi ulileta uzi hapa kuwa hapendi tabia ya mkeo kukushika *m*a*t*a*k*o*
ghafla leo unatuletea nyingine.

Ni lini mtakua muache usumbufu?
 
Mkuu big gift inawezekana mtoto mzuri kweli hapendi kuhongwa lakini usijipe matumaini 100%! Why, inawezekana ni muktadha na mazingira uliyotumia kumpa.. Yani dizaini umetoka kula mzigo unamsindikiza alafu unampa hela, kwa mwanamke mwingine lazima ajisikie vibaya yani dizaini anaona unamlipa kwasababu ya kumgonga so anahisi unamchukulia kama wale wale tu!! Lakini hiyo haimaanishi kuwa hataki kuhongwa ila ni namna gani unamuhonga hapo ndio ishu..

Binafsi sometimes unakuta unatoka na mtoto mzuri flani yuko decent hakuombi hela wala nini but kuna mda unajisikia umpe hela but huwa napata kigugumizi nampa hela namwambia ya nini?? Maana hajaniomba.. Alafu sitaki achukulie vibaya kwamba namuona ana shida au malaya but kama mwanaume nataka tu nimpe hela na mimi nijiskie fahari!! Ila shida nampa kwa staili ipi?? Na sio kwamba eti hapendi kuhongwa kabisa ila hapendi umuhonge kama 'wale wale'.!!

Sijui umenisoma Mkuu???
 
MIMI KUNA CKU NILIWEKA HAPA UZI UNASEMA

"Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee "

Mamtu yakaanza kunikandia eti ooooh kuna sehem anahongwa huyo!!!!

Nikawaona WOTE MAJUHHA tuu...

Big Gift hapo una demu kama wangu mzee...
Keep it up.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Msije mkawa mnashare
 
anaweka azina ziwe nyingiii siku moja atakuja na ombi la 1m lazima uanzishe uzi
 
Na Vijana sasa mnapenda sana mteremko....!! Mnatuongezea gharama za kulea sasa....!!
Mkuu salam, huwaga napenda sana post zako fupi fupi na hiyo picha ya django hapo juu daaa inakua full burudani.
Ila samahani sana najua nimekukwaza ndo maana leo naona umeandika post ndefu kweli.
 
Date Na Lara1 Umpe 80k Aikatae Udhanie Ndo Free P.
Siku Akuamkie Na Mkopo Wa Milioni 60 Anataka Aanze Biashara Mpya. [HASHTAG]#KubwaLaMaaduiTunatakaStoryMpya[/HASHTAG]...
Sitembei na malaya mkuu tena anaejiuza mtandaoni, wengi wamepita hapo karibia robo ya taifa la tanzania kulingana na sensa ya 2012. Wala hakuna lolote zaidi ya kudumbukia kwenye shimo la taka kila uchafu ushaingia
 
Mkuu big gift inawezekana mtoto mzuri kweli hapendi kuhongwa lakini usijipe matumaini 100%! Why, inawezekana ni muktadha na mazingira uliyotumia kumpa.. Yani dizaini umetoka kula mzigo unamsindikiza alafu unampa hela, kwa mwanamke mwingine lazima ajisikie vibaya yani dizaini anaona unamlipa kwasababu ya kumgonga so anahisi unamchukulia kama wale wale tu!! Lakini hiyo haimaanishi kuwa hataki kuhongwa ila ni namna gani unamuhonga hapo ndio ishu..

Binafsi sometimes unakuta unatoka na mtoto mzuri flani yuko decent hakuombi hela wala nini but kuna mda unajisikia umpe hela but huwa napata kigugumizi nampa hela namwambia ya nini?? Maana hajaniomba.. Alafu sitaki achukulie vibaya kwamba namuona ana shida au malaya but kama mwanaume nataka tu nimpe hela na mimi nijiskie fahari!! Ila shida nampa kwa staili ipi?? Na sio kwamba eti hapendi kuhongwa kabisa ila hapendi umuhonge kama 'wale wale'.!!

Sijui umenisoma Mkuu???
Nimekusoma brother naona mazingira yamechangia.
 
Back
Top Bottom