Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

MIMI KUNA CKU NILIWEKA HAPA UZI UNASEMA

"Manzi wangu hanipigi kabisa mzinga, hii imekaaje mazee "

Mamtu yakaanza kunikandia eti ooooh kuna sehem anahongwa huyo!!!!

Nikawaona WOTE MAJUHHA tuu...

Big Gift hapo una demu kama wangu mzee...
Keep it up.

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Usijidanganye
 
Umenichekesha kuna jamaa yangu anazopesa ila mwanamke akimpiga bomu tu kajifukuzisha kaz
 
Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.

Huyo demu wako yupo darasa / kidato cha ngapi??
 
Muambie mbugila huyo.
Kawasalimie marehemu wenzio hata sioni sababu ya kunijibu ovyo hapa kwa sababu sikukutaja wewe. Na ikuume nini kama na wewe sio malaya tuu?
Tukana ukimaliza uniambie nikupatie malipo na mwanaume wa kukuhonga maana kitendo cha mimi kwenda kinyume na nyinyi makahaba mnaaza kunisakama, mxiuu wewe mbugila baba yako na kizazi chako chote jitu la ajabu wewe bora hata ungekua shetani maana hufananii na binadamu.
Sipatii picha ulivyojitu refu kwa miti ya misonobari mwituni shame on you hoe.
 
Kwenye dunia hii ilioharibika, bado wapo wachache walionusurika. Mshukuru Mungu umempata wa aina hiyo. Ndo uwe unamnunulia vizawadi basi
 
unampa hela sababu ya show/sex aliyokupa au unampa kama mmpenzi wako na afanyie mambo yake...!!??
 
Kukataa pesa haina maana hapendi fedha. Kuna type ya wanawake ambao hawapendi kupewa cash but wanapenda kufanyiwa mambo. Kununuliwa vitu, kulipiwa sijui nini etc. How ni wabaya kwa mizinga bora yule anayepokea pesa na kudunduliza na mwisho wa siku kulipia au kujinunulia kitu fulani.

Hao ambao wanajidai hawapokei cash ni wabaya kuliko. Jiweke tayari kupigwa mzinga wa kufa mtu
 
KAma kuna watu mnahonga poleni sana, wengine tunapiga akianza ujinga wa kuomba hela achana naye.
 
Back
Top Bottom