Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Msichana wangu kanuna kisa nimempa pesa

Dont prefer shortcut way mapenzi garama jaman wanaume wa ck hiz mnapenda mteremko,kama hujui majukum yako kuna mume mwenzio atakua anakusaidia
 
Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.
Waswahili wana msemo usemao 'BURE GHALI'
 
Ulimpa pesa kidogo ndiomaana alinuna...[emoji12] [emoji12]
 
Brother nakusoma sana kuhusu hi ishu. Sema nilichogundua, wasichana wa type hi ni wachache lakini wapo.Wanaweza kua wanajitegemea au kama bdo anaishi kwa wazazi basi,pesa anayopewa na wazazi anakua tayari kushare nawewe.Yani hawa wasichana either kupitia malezi wamefunzwa kwamba mahusiano ni mchango 50/50 kati yake na boyfriend/husband au kupitia utandawazi wamejifunza maisha ya sasa hv kila mtu kwenye mahusiano ana jukumu 50% lakuchangia chochote ili no member asiwestressed na r. ship bali aenjoy equally.Na hi type ndo mwanaume akimpata apotezi mda.. nikuvalisha pete fasta. Sasa naona madada wetu wengne bdo wako usingizn.. mizinga kwenda mbele hata kama anatengeneza pesa(ameajiliwa).Mtaasubiri sana.
Mie kuna mmoja aliniomba elfu hamsini ya zawadi ya birthday yake nikamwambia daa kumbe ni dili sana kuwa mwanamke inamana ukiwa na watu buku wote ukawapiga kizinga unayo kama 50M TSHS si ndo umetoka maisha hapo umevuta coaster inakuletea 80 kwa siku na kila mwaka una birthday so kila mwaka ni coaster na itafikia hizo coaster zinanunua zingine kwa faida.
 
Ndo maana nasemaga mwanamke kulia njaa ni ujinga wake tuu.
 
Ulichokosea ni kumpa baada ya kumgegeda.. kajisikia kama vile amekuuzia... jaribu kumrushia kwenye simu uone kama itarudishwa...
 
Mnaosema mapenzi pesa kama mwanaume hana imekula kwake mimi nawakatalia.
Jana nilikua katika mtoko wa jioni na msichana wangu tukajiachia sana mwishowe ikafika jioni kila nikamsindikiza kupanda gari kwenda kwao sasa nikaamua nimpe elf 80 kwa kitu alichonizawadia jana ila alikataa akaniambia siku nyingine.
Leo katika salamu niliona hana mood nkamuuliza kulikoni dear akasema nimemboa sana jana, nkamwambia kwa nini? akasema kitendo cha mimi kumuhonga hela!
Basi nikamuomba msamaha nkawambia sitarudia tena.

Na hapo sasa nishakata tiketi ya daima ya kula kitu pendwa bure daima.
Kwa wale wanaume msio na pesa jipeni moyo makula sana bure kama mimi iwapo mtakutana na wanawake wenye hadhi kama wa kwangu.
Nawasilisha.
Hahahahahahahaha keep waiting to see what gonna happen in next few days
 
Mambo manne:
1. Anakuvutia kasi huyo na kukutengenezea mazingira ya kumuamini ili siku ukikung'utwa mzinga wa maana utoe kwa "moyo" bila kusita.

2. Anatafuta ndoa kwa udi na uvumba, so ni lazima aji-ascribe u-wife material, kachoka kuhudhuria kitchen party za wenzake.

3. Pesa ndogo mno hiyo ukilinganisha na anayoipata au ile anayoweza kuipata, so kumpa yeye ni dharau.

4. Huenda kweli kalelewa hivyo na kumpa pesa amechukulia kama umemuona kahaba.
 
Back
Top Bottom