Sina mkuu, huo ndio ukweli. Halafu una familia huku unataka kuhonga elfu 80 kweli? Basi utakuwa una kipaji cha kuhongaWe mkuu unapenda kusema huna mchepuko kweli?
Tupe somo ili tuwaelewe mkuu kwa msaada wako tutafika mbali. Plz okoa hili jahaziWanaume hatutakuja kuwaelewa hawa viumbe
Karibu sana mkuu, mimi naendelea kujilia neema za allah bwana.Mzee wa vyura nakusalimia bhana mimi napita[emoji124] [emoji124]
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Sitembei na malaya mkuu tena anaejiuza mtandaoni, wengi wamepita hapo karibia robo ya taifa la tanzania kulingana na sensa ya 2012. Wala hakuna lolote zaidi ya kudumbukia kwenye shimo la taka kila uchafu ushaingia
Napata tatizo kwa huyo mwanae wa kiume ambae ni msela wangu sijuin akilitambua hili atanionaje kwa kweli, ngumu sana kumeza kwa nafsi yangu.Sawa mkuu, your life your choice... Kila la kheri
Haha...haya. ila huyo mtoto ulikosea timing kumpa pesa.Karibu sana mkuu, mimi naendelea kujilia neema za allah bwana.
Siku hizi tunaambiwaga "chukua nauli"Mkuu big gift inawezekana mtoto mzuri kweli hapendi kuhongwa lakini usijipe matumaini 100%! Why, inawezekana ni muktadha na mazingira uliyotumia kumpa.. Yani dizaini umetoka kula mzigo unamsindikiza alafu unampa hela, kwa mwanamke mwingine lazima ajisikie vibaya yani dizaini anaona unamlipa kwasababu ya kumgonga so anahisi unamchukulia kama wale wale tu!! Lakini hiyo haimaanishi kuwa hataki kuhongwa ila ni namna gani unamuhonga hapo ndio ishu..
Binafsi sometimes unakuta unatoka na mtoto mzuri flani yuko decent hakuombi hela wala nini but kuna mda unajisikia umpe hela but huwa napata kigugumizi nampa hela namwambia ya nini?? Maana hajaniomba.. Alafu sitaki achukulie vibaya kwamba namuona ana shida au malaya but kama mwanaume nataka tu nimpe hela na mimi nijiskie fahari!! Ila shida nampa kwa staili ipi?? Na sio kwamba eti hapendi kuhongwa kabisa ila hapendi umuhonge kama 'wale wale'.!!
Sijui umenisoma Mkuu???
Kwani umesikia yeye anakutaka?Sitembei na malaya mkuu tena anaejiuza mtandaoni, wengi wamepita hapo karibia robo ya taifa la tanzania kulingana na sensa ya 2012. Wala hakuna lolote zaidi ya kudumbukia kwenye shimo la taka kila uchafu ushaingia
Achana nae falla huyo.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
That Was Harsh. A Personal Attack Wakati I Was Just Joking.Achana nae falla huyo.
Kwanza kwa viwango vya KLM wetu hana hadhi hata ya kupata nae dinner.
me nimesema tu hizo hela naziomba mm zilizokataliwaHaa shunie umenibamba leo na mchepuko?.......
Nazingua
Anamuektia ww hakunaga hivyoDah sijawahi kupata ambae hapendi pesa,watu mna bahati,huyo ni wife material usimpoteze.
Exactly!! Ndicho ninacho jaribu kumwambia big giftSiku hizi tunaambiwaga "chukua nauli"
Nikishaambiwa hivyo nachukua bila wasi.
Ila kupewa tu "chukua hii" noma sana.