Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Angalieni Uzi wake wa mwaka Jana mke wangu anataka kunipeleka kwa mganga
Story za kutunga hizi
Story za kutunga hizi
Ongo ili..
Habari zenu jamani,
Muda si mrefu nime-report hapa kuwa nimefukuzwa kazi kutokana na nature ya familia ya mke wangu, nimempigia simu mke wangu ameniambia haiwezekani hii si sawa lazima nasisi twende kwa mganga wa kienyeji tujue ni nani anaye fanya hayo mambo kwa familia yake.
Hapa nawaza sijui itakuaje tukienda kwa mganga, maana sijawahi kwenda kwahyo naogopa wadau.
Ni demu wangu wa muda mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa.
Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari kwa mwanaume.
Binafsi naona kama hizo ni dharau, mimi nimeona anataka kunidharilisha. Nayeye hataki kabisa niende kwao kumtolea mahari.
Anataka wazazi wangu mpangie mahari namimi nataka wazazi wake wanipangie mahari, hapo ndipo tunapishana.
Imagine, mtaani kwetu kuna kuwa kuna sherehe watu wanasema "tulikuwa tunapokea mahari ya SUPU YA MAWE " hahahaha
ukifatilia sana mambo yangu siku si nyingi utaokota makopo mkuu,.Chai hizo
Hakikisheni sukari ya kutosha basi
maskini wew na ukoo wako wote mtadharauliwa milele ogopa wahindi kwa dharau. ok si mbaya
nitakuimbia wimbo huu " aiyaiya kuolewa utruidi nyumbani kuolewa..."
not thaaaat!!...aiyaya kuolewa utarudi nyumbani kutembea...:becky:
lazima nikupe taarfa mkuu, usiwaze. namm ntakuja kuangalia yulee jamaa anaekatika.... hahahahahaEmbu fanyeni mfikie muafaka ban
lazima nikupe taarfa mkuu, usiwaze. namm ntakuja kuangalia yulee jamaa anaekatika.... hahahahaha
Ni demu wangu wa muda mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa.
Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari kwa mwanaume.
Binafsi naona kama hizo ni dharau, mimi nimeona anataka kunidharilisha. Nayeye hataki kabisa niende kwao kumtolea mahari.
Anataka wazazi wangu mpangie mahari namimi nataka wazazi wake wanipangie mahari, hapo ndipo tunapishana.
Imagine, mtaani kwetu kuna kuwa kuna sherehe watu wanasema "tulikuwa tunapokea mahari ya SUPU YA MAWE " hahahaha
Natumai umevuka salama kabisa mwaka.yes darling!