luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,150
- 21,801
Ni demu wangu wa muda
mrefu, sasa imefikia mahari tunahitaji kufunga ndoa.
Anasema kwa mila zao (mhindi) wao mwanamke ndio anatakiwa kutoa mahari
kwa mwanaume.
Binafsi naona kama hizo ni dharau, mimi nimeona anataka kunidharilisha.
Nayeye hataki kabisa niende kwao kumtolea mahari.
Anataka wazazi wangu mpangie mahari namimi nataka wazazi wake wanipangie
mahari, hapo ndipo tunapishana.
Imagine, mtaani kwetu kuna kuwa kuna sherehe watu wanasema "tulikuwa
tunapokea mahari ya
SUPU YA
MAWE " hahahaha
maskini wew na ukoo wako wote mtadharauliwa milele ogopa wahindi kwa dharau. ok si mbaya
nitakuimbia wimbo huu " aiyaiya kuolewa utruidi nyumbani kuolewa..."