Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Siku mwambie huna. Hata kama unazo. Kua jasiri

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Si umeamua kumpa endelea kuwa mtu mwema hivyo hivyo, hadi utakapojijua unataka nini hasa na mwenza wa aina gani kwenye maisha yako.
Naxhukul kwa ushaur wkoo

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
posa umeshapeleka? kama bado, malalamiko ya nini?

Sent from my HUAWEI P7-L10 using JamiiForums mobile app
 
Mpe tu! Ila kumbuka kuwa wanawake hawathaminiki hata uumpe kila kitu anacho kiitaji mwixho wa siku atakuja kukuthaliti tu!



So kuwa mbunifu chamsingi ale na ww ule usikubali kuliwa jitambue mwisho wasiku atakuja kukuita Danga lake



Bongo bahati mbaya
 
57c0c08301a9d2b76cc78b5efc72bc0c.jpg


Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Endelea kumpa kumpa hela sikua kijisikia atakupa
 
Mpe tu! Ila kumbuka kuwa wanawake hawathaminiki hata uumpe kila kitu anacho kiitaji mwixho wa siku atakuja kukuthaliti tu!



So kuwa mbunifu chamsingi ale na ww ule usikubali kuliwa jitambue mwisho wasiku atakuja kukuita Danga lake



Bongo bahati mbaya
Sanaaaa

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom