PATIE DE CHRISS
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 465
- 246
Amekufnya wewe mtaji kaka. Kaa makini kijana utapotea
Kama unazo mpe kama huna mwambie sina,chukua wa type yako asioomba,mbona unajitesa kwa kulalamika,mbona wewe vyengine ukiomba anakupa halalamiki,kupeana ni kikoa toa na wewe upewe,kama hutaki kutoa vyawatu usichukue..Nina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
umetisha mkuu hii sheria ya shambulio lakudhuru mwili hapo haiwez husika kweli ?
mchewwwwwwwwwwwwwwwwNina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
Huyo dawa yake mgeuzie kibao muombe yeye... Mwambie juu ya mawe ile kinoma nomaNina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
Kwani hajui kukimbia msala
Kwani huyo dada anauza hiyo K?Kama unamgegeda we mpe tu anachoomba Kama he anavyokupa ukitaka
usikurupuke... hata ukipewa namba taweza kumtunza au utamtia tu na kum dump..shenzi..Na wewe uwache kumto.MBA.tom.ba
Kama vipi ni pm namba yake
namba zake pliz...mi ndo kiboko yao!!Nina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
Mbona wengine ela wanayo?? Mnamsingizia Hitler/Mussolini wa watu ata ambao hatukuwa nazo apo nyuma tunamsingizia yeyeDuh kwa usawa huu wa JPM?