Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Yaani mi nachukiaga sana nikishaona mtu xa xa nyingi na kwenye l anaweka r yaani huwa nampunguzia marks kabisa yaani.
Yani dada mi nachefukwa roho kichefuchefu si kichefuchefu basi heka heka tu.

Mpka hapa nimeshajua huyu mtu ni wa mazingira gani
 
Hapo. inaonyesha. Upo ki sex zaid. Asa anataka akukamue kwanza ndo akupe ata ukisepa butu butu! Asa Kama ni mpenzi kiupendo zaidi.. Usngekuja huku. Ungeona kawaida ..mana ndege si wako ya nin kumnyooshea manati mkuu..naona ni butter trade.. Kumekucha

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mwambie aje geto achukue.

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
AKIOMBA PESA NA WEWE MUOMBE PESA HAPO HAPO.SIDHANI KAMA ATARUDI TENA.AKIRUDI MKUU KAONANE NA WAHENGA

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom