Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Msichana wangu ananiomba omba sana hela

Mie nashauri kila akikuomba mwambie aje achukue ila hakikisha unambanjua kwanza ndio unampa
 
Ww ulitaka akuombe nini? Watu wengine bhana, mwanaume anaombwa pesa km hujui au km hutaki muombe yeye
 
Mkuu dawa yao moja tuu kama hii hapa [emoji116] [emoji116] [emoji116]

2a67164e7525cbaced8ffd018cd1bf6a.jpg
 
Kama unampenda mwambie ukweli, asipobadilika piga chini kama una ubavu.
 
ila jaman wadada wapewe pesa tu wapewe wapewe wapewe sijui walizaliwa nazo alaf wanaonaga kama vile nihaki yao kupewa hahahah
 
Toa pesa kimachale kama anakupa mzigo mpe pesa ila kama hakupi usimpe maana siku mkiachana na haujala mzigo atadharau
 
Nina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
kawaida wewe vipi au wewe ndio unataka uhudumiwe
 
Tatizo ni kwamba unampa hela kidogo kidogo. Kusanya hela ya vocha, simu, kusukia, ya soda,ya ped, ya kujitibu, ya nauli, ya kula, ya kuoshea macho, na ya kuzugia home. Usisahau ya shughuli za rafiki yake, ya nguo za ndani, ya dela. Bila kusahau ya perfume, make up. Nilisahau ya viatu, ooooh sorry pale juu kwenye nguo nilisahau kuweka night wear, ijumlishe please.
Usisahau ya madeni anayodaiwa.
Mpe zote hizi uone kama atakuwa anakusumbua.
Ngoja nitafute orodha nyingine nitarudi.
Tuwatunze wenzetu wapendeze.
 
Nina binti nampenda sana ila anachonikela anaombaomba sana hela...hapitishi siku tatu bila kuniomba,Mara aombe hela ya vocha,ukimtumia anaomba hela ya chakula,ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon,ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa ,mara simu mpya,yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu,sinuous cha sms....eti anasema ananipenda sana kwa style hii???
mpe namba zangu.
 
Chagua moja umpe uendelee kula kwa kipimo, au umnyime wakusaidie.

FAIDA ya Kumnyima ni
1. Utasave kidogo angalau ujenge kwako uhame hapo

2. Utabakiwa na salio la kutosha tu mfukoni na siku genye zikikulemea unanunua tu huduma ya changudoa.(Chap Chap no
Attachments) Ukimaliza hausikii habari za kusuka chakula wala simu

3. Utakwepa kufa kwa wivu. Mpaka sasa hivi fahamu kuwa unachapiwa sana tu. Pale unapogoma kupokea simu yake kisa unajua anaomba hela ujue kuna jamaa mwingine anapelekewa "Quick" chap na anatoa mpunga. Bora uachana nae leo tu ariff

4. Utakwepa magonjwa ya zinaa na kulea watoto sio wako.


Sasa angalia utoe hela na upate hasara hizo hapo juu vyote kwa pamoja.

Achana nae
 
Kulingana na wanawake mnaokutana nao....Wanaume mnauwezo wa kujua hapa expenses zitakuwa kythr....


Dawa ni "KUTOA KABLA HUJAOMBWA" kuepuka usumbufu...
 
Back
Top Bottom