emiliano jr boy
Member
- Jul 2, 2017
- 76
- 28
Kakufanya we
Baba ake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Baba ake
Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
KwannUsitumie Tecno
Anahisi ni mbovuKwann
Kwery=kweliDah kwery
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwenye kiswahili herufi X na Q hazitumiki.kuwa makini katika uandishi mkuuNaxhukul kwa ushaur wkoo
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Kwa mfno nielekeze bad cjakupta fureshKwery=kweli
Kuwa makini katika uandishi wako.
Kupitia mwandiko wako mtu anaweza kukujua wewe ni mtu wa namna gani.
Usipobadilika utajiwekea wewe mwenyewe matabaka na watu.kama nitakukwaza,samahani
Bado kidogo sijakuelewaKwenye kiswahili herufi X na Q hazitumiki.kuwa makini katika uandishi mkuu
Labda kama unatania
Nimekuelewa nashukulu kwa kunifumbua macho nilikuwa sijui samahanini jamaniKwenye kiswahili herufi X na Q hazitumiki.kuwa makini katika uandishi mkuu
Labda kama unatania
Kama hivyo nilivyoandika hujaelewa,sidhani kama nitakuwa na maelezo marahisi kuliko haya.Kwa mfno nielekeze bad cjakupta furesh
Nashukulu nisha elewaKama hivyo nilivyoandika hujaelewa,sidhani kama nitakuwa na maelezo marahisi kuliko haya.
Usijali utaelewa taratibu tu usiwe na haraka.
Ukiweza pitia hicho nilichokiandika hapo ukasema hujanipata mara nyingi uwezavyo kuna kitu utajifunza
Ohooo vizuri kama umenielewa.Nimekuelewa nashukulu kwa kunifumbua macho nilikuwa sijui samahanini jamani
Aya nime kuelewaOhooo vizuri kama umenielewa.
Sasa jifunze kutofautisha R na L
Nashukulu=Nashukuru
Kwa uandishi huu lazima akuombe mana anajua huna ukijuacho we bado ni katoto.Naxhukul kwa ushaur wkoo
Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
AyaKwa uandishi huu lazima akuombe mana anajua huna ukijuacho we bado ni katoto.
Yaani mi nachukia sana nikishaona mtu xa xa nyingi na kwenye l anaweka r yaani huwa nampunguzia marks kabisa yaani.Kwery=kweli
Kuwa makini katika uandishi wako.
Kupitia mwandiko wako mtu anaweza kukujua wewe ni mtu wa namna gani.
Usipobadilika utajiwekea wewe mwenyewe matabaka na watu.kama nitakukwaza,samahani
Kumbe umeliona hilo my dada ee.Kwa uandishi huu lazima akuombe mana anajua huna ukijuacho we bado ni katoto.