Numbisaaa unataka nisave zali kwa kwenda rehab ?
Hamna bana haha
Mkuu [emoji115] huumtakii mema kabisa zote hizi[emoji151] [emoji147] [emoji155] [emoji156] [emoji160] [emoji162] [emoji166] [emoji168] [emoji381] [emoji382] [emoji445] [emoji535] [emoji519] [emoji525] [emoji524] [emoji529] [emoji513] [emoji592] kwa hali [emoji115] [emoji115] bora nibaki na hamu zangu[emoji125] [emoji125]Tatizo ni kwamba unampa hela kidogo kidogo. Kusanya hela ya vocha, simu, kusukia, ya soda,ya ped, ya kujitibu, ya nauli, ya kula, ya kuoshea macho, na ya kuzugia home. Usisahau ya shughuli za rafiki yake, ya nguo za ndani, ya dela. Bila kusahau ya perfume, make up. Nilisahau ya viatu, ooooh sorry pale juu kwenye nguo nilisahau kuweka night wear, ijumlishe please.
Usisahau ya madeni anayodaiwa.
Mpe zote hizi uone kama atakuwa anakusumbua.
Ngoja nitafute orodha nyingine nitarudi.
Tuwatunze wenzetu wapendeze.
Mtafutie mtaji wa unga huyo, ili upate muda wa kupumzika wakati ye akihangaika na Makonda..Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya, yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu, akittuma sms eti anasema ananipenda sana, kwa style hii?
Una nguvu sawasawa za kiume?Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya, yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu, akittuma sms eti anasema ananipenda sana, kwa style hii?
Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya, yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu, akittuma sms eti anasema ananipenda sana, kwa style hii?
Nina binti nampenda sana ila anachonikera anaombaomba sana hela hapitishi siku tatu bila kuniomba, Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya, yaani inafikia hatua akipiga simu naiangalia tu, akittuma sms eti anasema ananipenda sana, kwa style hii?
Mimi siombagi hela na sitowahi kuomba.
Asipojiongeza basi.....
Lakini kila mtu ana life style yake kama ni chumba wenda kipato chake kidogo kuliko kuku cheat bora akuombe.
Kuna wanaume wa ajabu sana yaani yeye hela yake ni ngumu kuitoa.hawezi kujiongeza hata mwisho wa mwezi atume hata laki ya matumizi, unategemea nn??
wadada tuna mambo mengi, kumjari mchumba wako niwajibu wewe mpe tu acha kulalama usipompa wenzio watampa
sipendi lijianaume lenye mkono mgumu kutoa.wakati mm mtoaji kama ninayo. Mnaboa sana.
Mara aombe hela ya vocha, ukimtumia anaomba hela ya chakula, ukimtumia anaomba tena hela ya Saloon, ukimtumia anaomba hela ya dawa anaumwa, mara simu mpya,
Sasa gharana zote hizo si bora mtu ukato. MBE changudoa kiroho safi tu?Na wewe uwache kumto.MBA.tom.ba
Kama vipi ni pm namba yake