Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

Msiba Usio wa Kawaida: Mbwa Kuruhusiwa Kuunusa Mwili wa Marehemu kabla hajazikwa, ni sawa ?

mkata uzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2025
Posts
1,910
Reaction score
5,455
Nimeshuhudia mambo mengi katika misiba tofauti, lakini tukio hili nililoliona limevunja kabisa rekodi.

Mbwa aliruhusiwa kuisogelea maiti na akaanza kuinusa, kulikuwa na watu wachache na ni kabla maiti haijatolewa nje kwa watu wengi kwa ajili ya kuagwa na kisha kuanza safari ya mazishi.

Niliposhindwa kuelewa, niliwauliza waliokuwepo wakaniambia kuwa marehemu ndiye aliyekuwa akimlea huyo mbwa.

Je, nyinyi mnalichukuliaje jambo hili, wakuu?
 
Kuna watu humchukulia Mbwa kama sehemu ya familia,hasa wazungu ndio wana huo utamaduni,
Ni jambo la kawaida.
 
Back
Top Bottom