MSIBA, nimefiwa mwenzenu!

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,277
6,673
Ni mwalimu wangu ambaye amenifundisha darasa la kwanza, ni kipindi kile
ambacho tulikuwa hatupitii shule za awali tulikuwa tunaanza shule ya
msingi moja kwa moja.

Nilimpenda sana huyu mama na kila nilipokuwa narudi likizo ilikuwa lazima niende
nikamsalimie na kumwachia chochote kwani namuona kama mama yangu pia
nakumbuka mbali sana kila ninapomuona.

MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI... AAMIN.
 
Pole sana kaka mkubwa, msiba uko wapi, Ntwara?
 
Ni mwalimu wangu ambaye amenifundisha darasa la kwanza, ni kipindi kile
ambacho tulikuwa hatupitii shule za awali tulikuwa tunaanza shule ya
msingi moja kwa moja.

Nilimpenda sana huyu mama na kila nilipokuwa narudi likizo ilikuwa lazima niende
nikamsalimie na kumwachia chochote kwani namuona kama mama yangu pia
nakumbuka mbali sana kila ninapomuona.

MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA PEPONI... AAMIN.
Pole sana GAZETI, MUNGU mwema ampumzishe kwake, AMEN!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom