Elitwege
JF-Expert Member
- Jun 4, 2017
- 5,154
- 10,809
- Thread starter
- #61
Watu wanaenda kumshawishiHuu ni uzushi. Ndalichako hawezi kuthubutu kugombea Kigoma mjini. Labda akajaribu kwao huko Kasulu
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanaenda kumshawishiHuu ni uzushi. Ndalichako hawezi kuthubutu kugombea Kigoma mjini. Labda akajaribu kwao huko Kasulu
Jikite kwenye hojakinywa chako kinanuka uvundoo aisee,hebu nenda kapige mswaki kisha urudi
Sent using Jamii Forums mobile app
fisiccm
Ukweli utabaki milele ,kwamba Zito alifukuzwa chadema na Tundu LisuMaelezo ya mtoa mada hayana uzito unaostahili.Kwanza hatuna uhakika kama Mh.Zitto anaongea uzushi,uongo na hatimizi majukumu yake.Pili kampeni bado sana na ni uonevu kuendelea kutaja tajataja Mh.Zitto alifukuzwa CHADEMA wakati huo wewe sio mfuasi wa CHADEMA na yeye ni mfuasi wa chama kingine.Kama Mama atagombea poa tu Kisanduku cha kura kitatoa majibu.
Kila aapishwaye kwa mujibu wa Katiba anawajibika kutumikia Taifa.
Habarini wana jukuwaa.
Kila laheri Prof Ndalichako ushinde hilo jimbo ili kupunguza wanafiki na wasaliti wa nchi yetu bungeni , itapendeza zaidi na Lisu akishindwa jimboni kwake. Hawa wasaliti wanatakiwa wakalime nyanya vijijini mwao badala ya sasa wanatumia mishahara tunayowalipa kwa kodi zetu kwenda kutusaliti kwa kutoa siri za nchi yetu kwa wazungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Msimadanganye huyu mama aingie bedroom ya Zitto bila hodi. Ataadhirika!Wasimdanganye yeye aende kwao kibondo kigoma wala hawamjui msimtafutie aibu za buree mana hata nusu ya kura za mshindi hatozipata