Elections 2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
4,446
2,000
Hizi nazo ni taarifa za kushitusha? Au umejisikia tu na wewe leo siku isipite bila angalau kuleta uzi wako? Elitwege,

Loyalty To country Alyways,To government When it deserves
 

JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
1,947
2,000
Elitwege, Ninachokiona hapa ni porojo zako tu,ushahidi wa wanakigoma kumtaka Prof upo wapi?
Utafiti uliofsnya upo wapi?tuoneshe hata uliowahoji?majina yao na sahihi zao kwamba wanamtaka Prof, weka hata video!
Acha porojo,

Kama unanukuu kituo kama Clouds, hao ni wapambe wa CCM hakuna kitu hapo, leta data kutoka vyombo huru kama Mwananchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mwanga Lutila

JF-Expert Member
Nov 10, 2016
2,969
2,000
Hii ya ¨kutuma watu¨ waje kukuomba ugombee ipo sana msimu huu.

Ni aina fulani ya kujipigia promo
 

Mpangawangu

JF-Expert Member
Mar 5, 2014
801
1,000
Zitto sio level ya Ndalichako,achilia mbali heavy weight Zitto Kabwe ,huyo ndalichako hawezi kushinda jimbo lolote la Kigoma uchaguzi ukiwa huru na haki.

Zitto ataacha kuwa mbunge siku akiamua kuacha ubunge mwenyewe,maana kwa Kigoma Zitto ni Mwami.

Tena jimbo la Kigoma mjini ndio moja ya majimbo yenye uziefu wa siasa za kihuni na vurugu.

Hila zozote dhidi ya Zitto kama ataamua kugombe hazitafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom