Uchaguzi 2020 Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

Elitwege,
Watu wa kigoma unaota ndoto ya mchana.huyu mama Baraza la mitihani lilimshinda,wizara ya elimu imemshinda,Leo mnataka kumpa Jimbo? Tafakarini chukueni hatua mbalada
 
Elitwege,
Huyu mama si ndio alituhumiwa na waislam kuwa anawafelisha ila yeye akajitetea na kusema ni kompyuta?
 
Kigoma mjini na mbeya mjini itaumbua watu...na wa waki-force ushindi wengine wataishia Segelea ya kimataifa...mi simo.

Kwa haya majimbo CCM wasahau kabisa...who ever is candidate lazima aumie...Kigoma na Mbeya same as Arusha mjini..!!
 
Ndiyo mnadanganyana hivyo hapo ufipa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaweza kuwa uko sahihi lkn:-
(i). Tutajie jimbo hata moja nchini ambalo lina raha kutokana na utekelezaji wa ahadi za Mbunge

(ii). Ni kweli kuwa Kigoma ya leo ndiyo ile ya mwaka 2005? Barabara zilizojengwa na Mkandarasi Peter Mlima zinafanana na hizo za Nyanza Road?

Kulea mtoto mpk akawa kiongozi si suala dogo. Sikujua kama Kigoma kuna Maprofessa sababu mwaka 2015 ni mkulima wa darasa la saba (Ildephonce Birohe) aliyejitokeza kuwania urais huku Maprofessa, Dkt, Masters nk wakiwa uvunguni.

Tunahitaji viongozi wenye matamanio na matarajio
 
Zito hatoshi kigoma mjini

Sent using Jamii Forums mobile app

Yes, yawezekana hatoshi lkn tatizo la hao mnaowataja hawajiamini kabisa - huwezi kuwa na orodha ndefu ya maprofessa na madaktari wanaotegemea teuzi (wasiokuwa tayari kwa mapambano)

Sasa kama wananchi wa Kigoma wamemfuata kuomba awe Mbunge wao that means siasa si sehemu ya maisha yake.
 
Wamejionea live utendaji wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom