Mshituko: Wananchi Kigoma mjini wamtaka Prof. Joyce Ndalichako

exaud morrey

exaud morrey

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Messages
327
Points
250
exaud morrey

exaud morrey

JF-Expert Member
Joined May 22, 2017
327 250
nilitaka nikutukane tusi baya wewe mleta mada basi nimeogopa mods wangenishukia kama mwewe, lakini huu ulioleta ni uhalo mtupu. Kuna majimbo kama Mtera mbunge weke anashinda humo jimboni yana nini? ZAIDI WANANCHI WAKE WALIWAUWA WALE WANASAYANSI WA SERIAN KWA IMANI ZA KIJINGA.
Ka mtela pahovyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
1,714
Points
2,000
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
1,714 2,000
swali:
ni jimbo gani ambalo changamoto zimetatuliwa? tuanzie na ya ccm!
mleta uzi japo najua huna uwezo wa kufanya utafiti lakini utuambie uliongea na watu wangapi huko kigoma? ulitumia dhana gani? wanawake walikuwa wangapi? vijana na wanaume? uliongea na watu wenye mlengo gani wa kisiasa na kwann?
maswali ni mengi
 
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
2,831
Points
2,000
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
2,831 2,000

Kwa hiyo unaona sifa shida kutotatuliwa majimboni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gwankos

gwankos

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
326
Points
500
gwankos

gwankos

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
326 500
Mbona suala la ndalichako kwenda kugombea linafahamika lkn nakushangaa unaposema wana kigoma wamemchoka zitto tambua huyu ndali ndo atakuwa amefail Kama anataka anguko la aibu asiende kg twn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Kirungwe

Member
Joined
Aug 27, 2018
Messages
10
Points
45
K

Kirungwe

Member
Joined Aug 27, 2018
10 45
Wana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza. Wasifanye tena kosa la kuchagua mbunge asiye na nia ya kutetea maslahi ya jimbo lake. Na huu ushauri nautoa kwa wananchi wote wa mkoa wa Kigoma. Ni mkoa ambao hauna watetezi na ndiyo maana umeendelea kubaki nyuma miaka yote ya Uhuru wa nchi yetu. Wananchi wa Mkoa huu wanahitaji kujitafakari sana.
 
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2010
Messages
13,600
Points
2,000
Sibonike

Sibonike

JF-Expert Member
Joined Dec 23, 2010
13,600 2,000
Kwa lipi kubwa alilofanya huyo Ndalichako?
Watu wa Kigoma mjini, Arusha mjini, Mbeya mjini na Moshi mjini. Wanajitambua sana. Hiyo ni mifano michache.
Huyo fisadi aendelee kusibiri kuteuliwa tu.
 
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
2,831
Points
2,000
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
2,831 2,000
Wana Kigoma mjini. Ni kweli Zito Kabwe hajui maana ya kuwa mbunge wa jimbo. Anafikri ni mbunge wa Tanzania nzima. Kwa hiyo hafai kuwa mbunge wa jimbo. Lakini sasa siyo rahisi kusema kuwa huyu au yule. Ni juu ya wana Kigoma mjini kuchagua kati ya wale watakaojitokeza. Wasifanye tena kosa la kuchagua mbunge asiye na nia ya kutetea maslahi ya jimbo lake. Na huu ushauri nautoa kwa wananchi wote wa mkoa wa Kigoma. Ni mkoa ambao hauna watetezi na ndiyo maana umeendelea kubaki nyuma miaka yote ya Uhuru wa nchi yetu. Wananchi wa Mkoa huu wanahitaji kujitafakari sana.
Kweli kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,592
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,592 2,000
Kwaheri Zitto Ruyagwa Zubeir Kabwe Kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
1,714
Points
2,000
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
1,714 2,000
Kwa hiyo unaona sifa shida kutotatuliwa majimboni

Sent using Jamii Forums mobile app
twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
 
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
2,831
Points
2,000
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
2,831 2,000
twambie jimbo la kongwa kwa ndugai kuna maji, umeme, vijana wa kule wote wana ajira.vinginevyo unasumbuliwa na ujingishwaji mnaoambukizana hapo lumumba! mshindwe kuleta maendleo kwa miaka 50 plus yaletwe na waliochaguliwa juzi.. hayawan wewe
Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
E

Ekaka

Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
83
Points
125
E

Ekaka

Member
Joined Oct 31, 2018
83 125
Endeleeni tuuu kumdanganya mama wa watu kwa ahadi ya ujira kiduchuuu

Kwa hapa kigoma ujiji hapawezi maybe apige hodi wilaya za jirani....

Mpeni ushauri na c kutafuta namna ya kumlia pesa zake🏃🏃🚶🚶🕴🕴🗣
 
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Messages
2,831
Points
2,000
Elitwege

Elitwege

JF-Expert Member
Joined Jun 4, 2017
2,831 2,000
Endeleeni tuuu kumdanganya mama wa watu kwa ahadi ya ujira kiduchuuu

Kwa hapa kigoma ujiji hapawezi maybe apige hodi wilaya za jirani....

Mpeni ushauri na c kutafuta namna ya kumlia pesa zake
Wana ujiji ndiyo walioenda kumshawishi Ndalichako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2018
Messages
1,714
Points
2,000
Kinoamiguu

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2018
1,714 2,000
Kama Ndugai hajaleta maendeleo na Zito hajaleta maendeleo nini umuhimu wa kuchagua chama cha upinzani ?

Sent using Jamii Forums mobile app
ni vyama vya upinzani ndivyo vilivyoibua kashfa ya uzwaji wa za umma kwa nyingine hata kwa mahara .
ni vyama vya upinzani ndivyo vilivyoibua kashfa kubwa zilizosababishwa na mafisadi wa hapo lumumba anzia buzwagi, EPA, KAGODA , MEREMETA, TWIN TOWERS NK
wewe sijui ulikuwa wapi huko usikokuwa unasikia
kama unahisi kwamba tu kwasababu zito hajaleta maendleo kama ndugai ndiyo asichaguliwe ccm haifai kabisa maana ndo iliyoongoza nchi ambayo mpaka leo watu wanakunywa maji ya tope huko nachingwea.
 
mbikagani

mbikagani

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2014
Messages
2,825
Points
2,000
mbikagani

mbikagani

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2014
2,825 2,000
Habarini wana jukuwaa.

Taarifa za kushitusha ni kwamba huenda kwenye bunge lijalo (2020 -2025) mbunge aliyefukuzwa chadema na Tundu Lisu mh Zito Kabwe asionekane tena! , hii ni kufuatia wananchi wa Kigoma kumchoka kwani hatimizi ahadi yoyote jimboni ,kazi yake ni kushinda mitandaoni akifyatua uzushi na uongo wa kila aina.

Badala ya kuwatumikia wapiga kura wake yeye ameenda kuungana na watesi wake akina Lisu na Mbowe na kuanza kuishutumu serikali kwa kupinga miradi yenye tija kwa wananchi masikini kama ujenzi wa viwanda na bwawa la pili kwa ukubwa barani Afrika litakalotumika kufua umeme.

Baada ya wana Kigoma kugundua hilo wameamua kuungana na kwenda kumshawishi waziri wa elimu Joyce Ndalichako ili agombee jimbo la Kigoma mjini uchaguzi ujao wa 2020.

Kila laheri Prof Ndalichako ushinde hilo jimbo ili kupunguza wanafiki na wasaliti wa nchi yetu bungeni , itapendeza zaidi na Lisu akishindwa jimboni kwake. Hawa wasaliti wanatakiwa wakalime nyanya vijijini mwao badala ya sasa wanatumia mishahara tunayowalipa kwa kodi zetu kwenda kutusaliti kwa kutoa siri za nchi yetu kwa wazungu.View attachment 1034111

Sent using Jamii Forums mobile app
Acheni ujinga, kabangueni korosho ili ziuzwe.
 
Zawadini

Zawadini

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Messages
956
Points
1,000
Zawadini

Zawadini

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2012
956 1,000
Mbona ni jambo la kawaida tu. Mwache aende. Mtoto akililia wembe mpe; ukimkata siku nyengine ataogopa. Nenda mama ukajifunze nawe.
 
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2017
Messages
263
Points
500
M

muyovozi

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2017
263 500
Waislam wako wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi Kigoma Mjini karata ya dini haina guvu sana Waislamu na wakristo pale idadi inalingana , ndiyo maana ilikuwa rahisi Zitto na Serukamba walibadilishana majimbo na wote wakapita. Lakini Kigoma vijijini (kaskazini) Zitto aliambiwa hatukupi kura nenda mjini kuna waislamu wa kutosha (sio majority). Na huko ndio akapita. Halafu Kigoma Mjinj wameishachoka upinzani (fatigue) kwa hiyo Zitto anasweza akajiandaa kuachia pale kama factor ni udini. Hata hivyo Ndalichako amekulia Mwanga Katubuka Mtaa mmoja pale mjini. Wazazi wake wamehamia pale tangu enzi za vijijivya ujamaa, hivi kweli hiyo haimtoshi kuiwakilisha Kigoma mjini, bado mwanakibondo tu .? Acheni ubaguzi wa reja reja , she is quite fit. Mwisho tu, tukubaliane hivi 2020 tuna wapinzani zaidi ya 20 wa upinzani wataingia bungeni kweli? Si kwa sababu hawapendwi bali majeruhi aliyopata 2015 ccm wanaona yanatosha, ni mwendo wa kuchukua kwa nguvu . Mimi naamini kwenye free and fair elections ccm hangepita , lakini chama dola zamani kiktumia mabao ya mkono , sasa ni kuchukua tu kwa halali na haramu. Halafu nikisikia niombeeni najiulza hiyo MUNGU anayeombwa ndiyo huyu tunayeamini mtenda haki au kuna wengine wapenda wizi wa kura kama serikali za Afrika zifanyavyo. Very wonderful.

Mh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Messages
7,911
Points
2,000
Consultant

Consultant

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2008
7,911 2,000
Huu ni uzushi. Ndalichako hawezi kuthubutu kugombea Kigoma mjini. Labda akajaribu kwao huko Kasulu
 
Forum statistics

Threads 1,315,984
Members 505,466
Posts 31,875,897
Top