Kwa jinsi watu wanavyofaatilia hii ishu, ingekua wanafuatilia ishu ya ufugaji wa kuku, au kilimo cha matikiti, wangekua matajiri sana.Mbona walisalimiana
View attachment 1262213
Kweli hujui lugha ya mwili ,makonda alijiandaa kutoa na kupokea mkono,mzee baba akapotezeaHili tukio ni la kupangwa kabisa, maana hata Makonda mwenyewe anaonekana wazi kuwa alijiandaa kwa hilo maana hata yeye hakuuinua mkono wakati rais akielekea uelekeo wake.
Kwa jinsi picha likivyo basi hata kama rais angeinua mkono basi Makonda asingeuinua. Hilo picha limetengenezwa kabisa
Mkuu, unaweza kuweka link ya hiyo video au masanja?Nimeona video kapost Masanja, Makonda alimfata Magu hadi nje alipokuwa anataka ondoa akakimbilia akampa mkono ila hawakuongea kitu
Inawezekana pia walionana kabla.Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Mkuu, unaweza kuweka link ya hiyo video au masanja?
Yes alisheki flani hiviii kwa mbaali ila akageuka fasta na kutuliaKweli hujui lugha ya mwili ,makonda alijiandaa kutoa na kupokea mkono,mzee baba akapotezea
Drama or you want to flash out coachroachesHeshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?
Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?
Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?
Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?
Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?
Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?
Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?
Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.
Zaidi, soma;
Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe. Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! ============= Maalim Seif Kukataa Mkono wa Dr.Shein kwenye Mazishi ya Al-Hajj Aboud Jumbe Mwinyi. Ujumbe...www.jamiiforums.com
View attachment 1261346
😂😂😂Mkuu, ebu ngoja kwanza.